Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha yule msukuma niliyempata mimi alikuwa mtanashati na mchapakazi ila alikuwa akianza kuongea ile lafudhi yao nilikuwa nacheka tu hata kama kitu hakichekeshi
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hvi na kile kiswahili chenu Cha mkandamizo[emoji14][emoji14]mnabembelezeaga kilekile!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora Lizarazu kidogo lugha nyingine ya kwa Trump inapandapanda[emoji87][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha yule msukuma niliyempata mimi alikuwa mtanashati na mchapakazi ila alikuwa akianza kuongea ile lafudhi yao nilikuwa nacheka tu hata kama kitu hakichekeshi
Wana lafudhi mbaya Sana.
Bora hata ya kwetu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hapo sijui anakubembelezaje na gule gu lafudhi gwa kukandamiza kiswahili vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu
 
Jamani. Hata wewe binti unayejitambua na mpigania haki za wanawake kuhakikisha kuwa hawanyanyaswi wala kuonewa kweli unatunyanyapaa kisa eti lafudhi yetu mbaya? This hurts !!!

So Ngosha ulimwacha kisa lafudhi yake?
 
Tena tuko Romantic balaa ...

Na wengine hiyo lafudhi wala hatuna. Msitunyanyapae bana. Siyo vizuri [emoji16]
 
Jamani. Hata wewe binti unayejitambua na mpigania haki za wanawake kuhakikisha kuwa hawanyanyaswi wala kuonewa kweli unatunyanyapaa kisa eti lafudhi yetu mbaya? This hurts !!!

So Ngosha ulimwacha kisa lafudhi yake?
Mjifunze kuongea lafudhi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mnakwama tu Hapo kwenye kuongea kiswahili kigumu.
Mengine yote mko vizuri..u HB [emoji7][emoji7],kuchapa kazi[emoji847][emoji847]
 
Ningekuwa na namba yako ningekupigia sasa hivi ili usikie Kiswahili changu. Utafikiri unaongea na Mpemba.....

Asante angalau kwa kutupa Kuddos huko kwingine ambako, kwa maoni yangu, nadhani ndiko kwa muhimu zaidi...

Wale ng'ombe sabini ndo tunafanyeje sasa?
 
Huko kwingine ndiko kwa muhimu..[emoji3][emoji3]
Mwanaume kuongea kizembezembe kilaini laini ni umama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Vipi mshenga Lizarazu yupo tayari?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani halafu hata huyu SHIMBA YA BUYENZE kila nikilisoma jina lake najikuta nalisoma kwa ile lafudhi yao ya kisukuma kwa sababu ni la kisukuma
Wana lafudhi mbaya Sana.
Bora hata ya kwetu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hapo sijui anakubembelezaje na gule gu lafudhi gwa kukandamiza kiswahili vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu
 
Siwanyanyapai jamani nawapenda sana wasukuma maana nasikia wanaume wa kisukuma mnajua kupenda kasoro Lizarazu na yule Rais wa nchi ya Buzilayombo tu na wanawake wa kisukuma wanajua kutii

Siwezi kuachana na mwanaume kwa sababu ya kijinga kama hiyo tuliachana kwa sababu nyingine tu infact mimi napenda sana mwanaume atakayenifanya nicheke mara zote na siyo nichukie

Jamani. Hata wewe binti unayejitambua na mpigania haki za wanawake kuhakikisha kuwa hawanyanyaswi wala kuonewa kweli unatunyanyapaa kisa eti lafudhi yetu mbaya? This hurts !!!

So Ngosha ulimwacha kisa lafudhi yake?
 
Siwanyanyapai jamani nawapenda sana wasukuma maana nasikia wanaume wa kisukuma mnajua kupenda kasoro Lizarazu na yule Rais wa nchi ya Buzilayombo tu na wanawake wa kisukuma wanajua kutii

Siwezi kuachana na mwanaume kwa sababu ya kijinga kama hiyo tuliachana kwa sababu nyingine tu infact mimi napenda sana mwanaume atakayenifanya nicheke mara zote na siyo nichukie
Jamani unamuonea Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku katika wote Lizarazu ndio anajua kupenda
 
Back
Top Bottom