Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hivi kwanini unalazimisha tofauti kati ya mwanaume na mwanamke kwenye kila kitu??
Mkuu, nasikitika ulichoandika ni kujaribu kubalance gender. Ukweli hauko hivyo hata kidogo. Nikuulize swali dogo tu, kwa nini inawezekana kwa mwanamume kuoa wanawake zaidi ya mmoja na isiwezekane kwa mwanamke kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja?

Sipingi kwamba mwanamume awe na make mmoja kwa sababu za kiimani lakini,, hoja hapa ni binti asiolewe na mwanamume aliyezaa this is wrong in all accounts. Labda kama ni kwa mtazamo was equality na sio uhalisia na asili.

Nakusikiliza
 
Huyu Saint anne kuna namna na huyu Lizarazu wake. Tangu kuche leo ameshamtag zaidi ya mara 20 (nimehesabu). Ameanza kwa kuomba msamaha wa dhati kwa kosa ambalo wala halieleweki. Nimejitolea hapa kutoa ng'ombe 70 sharti lake kuu eti lazima Lizarazu awe mshenga. Sasa tena hapa tunalazimishwa kuamini eti Lizarazu ndo anajua kupenda. Hata kama ni kumshobokea mtu this is tuu machi. Ai giva pu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi tags zisikutishe..
Anajua Kwanini namtag[emoji14][emoji14][emoji14]
Ila kuanzia kesho hutaziona Tena hizi[emoji3][emoji3]
 
Lakini mdogo wangu wewe si ulisema unapenda wanaume wababe?? Mimi wanaume wababe hapana kwa kweli huo ubabe wake aupeleke huko kwa wanaume wenzie watakaokuwa wananisumbua asiniletee mimi isitoshe mwanamke hapigwi kwa ngumi wala mateke anapigwa kwa vitenge na khanga tu!!
Nyie wasukuma si mnapenda ubabe kwenye kila kitu..yaani ubabe ubabe tu
 
Pamoja ndio wanawake wana matatizo yao,lakini vijana wengi wakiume wanapenda sana NGONO,lakini wanaogopa MAJUKUMU.Single mother sometimes wanazalishwa na wanaume waoga wasiopenda,kubeba majukumu yao,kuna baadhi ya single mother hawana hatia ila ndio hivyo walikutana na watu wasio sahihi,wasiopenda kutimiza majukumu yao ya ubaba.

Ndio maana siku hizi akina bibi na babu wanabeba mizigo ya kuwalea wajukuu,wenyewe wakikaa kijiweni utawasikia "babu yao na bibi yao wanawapenda sana wajukuu wao" ,kumbe hawajui babu na bibi wanajua nini umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba na mama.

Mimi single mother nisiye muonea huruma ni yule ,aliyeingilia ndoa ya mtu tena kwa makusudi ya kutaka kumchukua mume wa mtu,huyo kwangu hastahili huruma.
Waingilia ndoa za watu hata mie napigilia msumari na nyundo kabisa, mwingine
kamponza mwanaye kakatwa mguu kwa ujinga wake
 
Lakini mdogo wangu wewe si ulisema unapenda wanaume wababe?? Mimi wanaume wababe hapana kwa kweli huo ubabe wake aupeleke huko kwa wanaume wenzie watakaokuwa wananisumbua asiniletee mimi isitoshe mwanamke hapigwi kwa ngumi wala mateke anapigwa kwa vitenge na khanga tu!!
Sipendi mpole Sana Kama Mimi.
Nitamuonea...awe mbabe ila sio ubabe wa kutwangana magumi
 
Si kwa sababu wanaona 'hawana cha kupoteza' ndiyo maana wanakubali kirahisi wenyewe wanakwambia maumbile yanaruhusu eti sisi tusijilinganishe nao ila kinachoshangaza ni kwamba magonjwa hayachagui maumbile yanawashika wote na yanawaua wote kwa usawa!!
Kama kondoo vile unamswaga tu hakuna kutumia nguvu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi tags zisikutishe..
Anajua Kwanini namtag[emoji14][emoji14][emoji14]
Ila kuanzia kesho hutaziona Tena hizi[emoji3][emoji3]
Nifungulie PM nikuulize kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Ng'ombe zangu 70 ndo naziaga hivyo dah. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nifungulie PM nikuulize kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Ng'ombe zangu 70 ndo naziaga hivyo dah. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah mzee wangu akiongeza na wake wawili watakuwa 72[emoji847][emoji847][emoji847][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].

Niambie tu ..iko wazi
 
Mimi siyo mwanaharakati ila ni msemaukweli hasa kwa wanaume wasiojua wajibu wao mwanaume anayejua kupenda mbona mimi sina shida naye kabisa ila nimeshaolewa na sijaolewa na msukuma nimeolewa na wa kabila langu
Na wewe ni Mnyakyusa ama?
 
Back
Top Bottom