Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Bila Lizarazu kuwa mshenga Basi hakuna ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unajua Lizarazu akija kwetu...akiwapiga piga kizungu masister wale dah Moja kwa moja unakuwa ulishakubalika.
Basi hii ndoa itashindikana aisee. Naona ng'ombe wangu 70 wamepona. Wewe kaa na Lizarazu wako hata siku ukimkorofisha utolewe ngeu usilalamike...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
0a9d2c7c-8ba4-4f0d-b0e5-fca03b04e73d.gif
 
Hivi unajua kwamba kutongoza humu jukwaani ni kosa?? Kuna member alimlalamikia Melo kwamba aliwahi kumtongoza Farida humu jukwaani akala ban sasa akawa anauliza eti kwani kutongoza jukwaani ni kosa!!
Mimi sijatongoza. Wasukuma hatutongozagi. Sisi ni kupeleka mahari tu. Mengine yatajulikana huko huko mbele ya safari. Kama binti ni toli, mweupe na ana msambwanda basi kwisha kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanapata kesi kwa sababu ya utovu wa Nidhamu..ukivunja sheria lazima uwajibishwe.

Hana mpinzani ndio ..Hadi Sasa sijaona mbadala wake.
Kwa hiyo zile takwimu anazokujaga nazo Zitto pale serikali inapodanganya uma ndio utovu wa nidhamu!?

Maana ndio kinachomfanyaga wamkamate mara kwa mara.
 
Basi hii ndoa itashindikana aisee. Naona ng'ombe wangu 70 wamepona. Wewe kaa na Lizarazu wako hata siku ukimkorofisha utolewe ngeu usilalamike...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
View attachment 1206666
Hahahaah..
Hao ng'ombe nilishawapigia hesabu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hawezi akanitoa ngeu aisee...
 
Tuuacheni huu uzi sasa urudi kwenye mada yake ya usingo maza. Tumeshauharibu vya kutosha. Bila shaka mwenyewe aliko kafura balaa. Ila kuanzia sasa Saint anne jua madarubini yangu makali kutokea huku Gamboshi yanakumulika kwa mwanga mkali sana Hubble Telescope cha mtoto. Ukijichanganya tu utajikuta uko Koromije ukipapalilia majaruba ya mpunga. Asante kwa matani rafiki. Lizarazu yeye nitagongana naye kwingine huko sema tu akianzaga makiingereza yake magumu mi nakimbiaga. Blessings to you all...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahaha[emoji38][emoji38]

Lekaga huromoro nyanda. Natamanile English[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Si umebeti.
Naomba uweke ng'ombe watano uone mkeka unavyochanika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wale 70 wa mahari wako palepale.
Sema tu sijui kama una mume ama la. Na kama uko toli, mweupe na mwenye msambwanda. Ningeyajua haya basi kwa ulaini kabisa ng'ombe 70 wazee wangebeba mchana kweupeee [emoji16]
 
Back
Top Bottom