Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Huyu mtu ni hatari zaidi ya hatari. Ni wa kuangalia sana. Amenyimwa zile kamati za bunge alizokuwa anapigia hela basi visasi si visasi ali mradi vurugu tupu. Hata leo huyu akipewa cheo kimyaaa hutamsikia tena. Hovyo kabisa !!!
Hii nchi wanafiki Ni wengi.
Rais wetu Ni mzuri ila wafuasi wake Sasa [emoji3525].
Hata hao wapinzani nao Ni wanafiki tu.
 
Unanitia hamasa tu...

Nipe namba ya mzee nianze mazungumzo miye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utapoteza sifa hata kabla ya kufikA nyumbani..
Yaani ukaongee na Baba mkwe kwenye simu!???
Haupo serious
 
Huu uzi nimesema kwanini umepata replied zaidi ya elfu mbili, acha nami nijionee! Nilikuwa sitaki kupita.....Mtoa mada hongera sana, umedadavua vyema! Single mother wengi 98% wanangonoka sana na baba wa watoto wao! Hili jambo halihitaji degree kuelewa......Japo wapo wachache waliotulia kwenye ndoa zao, japo nao sio wakuwaamini kwa 100% watangonoka tu endapo kakutana na baba wa mtoto kariakoo![emoji19][emoji19]
 
Why should I doubt my comprehension just because of your stupid comment??
If your mediocre vacillanting feeble-mind couldn't even take a grip of my pellucid explanations i don't expect you to apprehend the frailty of your comprehension.

Stupid indeed.!! [emoji4][emoji4]
 
Nipo mwenyewe tena nimelala
Ujue hiyo sentensi inaeleweka..
Labda utanichenga tu kwenye matusi...
Naona km inaendana na lugha flani hivi
Ahahahaha!! Wewe kuna mtu kakusaidia hapo ulipo sio bure
Hiyo sentensi kwa lugha yangu ingekuwa hivi.
Leka ubumyashi,ndamenye English
Si unaona km zinaendana!??
 
Wasukuma mna sifa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naona unajaa kichwa mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah.
Now ntapunguza kukusifia....
Nimeelewa tu I'm just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Looh!! Sifa tena, kwani hapo cha ajabu ni kipi hasa jamani?

Si nimsema tu mimi uwezo wangu wa kisanaa ya kuunda maneno umejaa zaidi maneno ya kawaida na mengine ni ya kishamba.

Hee!! Mimi sijajaa kichwa bhana [emoji39][emoji39]
 
Looh!! Sifa tena, kwani hapo cha ajabu ni kipi hasa jamani?

Si nimsema tu mimi uwezo wangu wa kisanaa ya kuunda maneno umejaa zaidi maneno ya kawaida na mengine ni ya kishamba.

Hee!! Mimi sijajaa kichwa bhana [emoji39][emoji39]
Muone[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526].
Ila nakukubali sana kwenye lugha.
Ila nina wasiwasi wakati wa kuongea utakuwa unaikandamiza na ile lafudhi yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mnagombana na maneno vile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana hili swala ni lazima nilifungie na kuliombea
Unaomba Nini!????
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta prayer point nyingine...hiyo inakupotezea muda.
 
Mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Hakuna jipya !!!
Kwamba ZZK ni mchumia tumbo?

Hivi kwenye lile sakata la upotevu wa 1.5trillions baada ya kuja na clarification ya jinsi hela zile zilivyopigwa kisha akasema kama kuna mtu anayehisi anadanganya basi amfikishe mahakamani, kuna yeyote aliyejitokeza kumkamata?
 
Back
Top Bottom