Hivi wewe kumbe ni mtoto wa kike ? Kuna sehemu umeni quote nikawa sijaelewa ulichoandika.Wasituchoshe
Post # 1,930.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe kumbe ni mtoto wa kike ? Kuna sehemu umeni quote nikawa sijaelewa ulichoandika.Wasituchoshe
Nimekwambia lete ushahidi unabaki unapuyanga maneno tu.Sasa wewe ndio unaleta porojo
Mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Hakuna jipya !!!Anaweza akawa yuko sawa ila anakosea namna ya kuwasilisha.
Kila kitu kinatakiwa kufwata itifaki...ukijiropokea tu lazima ukamatwe
Tegemeo langu nini!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani sifa zote unazo dah!
Una mume kama Mariannah au mbabe Lizarazu ndiyo tegemeo lako?
Nimeelewa.Hahaha[emoji38][emoji38]
Lekaga huromoro nyanda. Natamanile English[emoji38][emoji38][emoji38]
Jikite kwenye mada. Acha kutuchanganyia habari.Tegemeo langu nini!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tegemea langu Ni Yesu pekee
Hicho siyo Kisukuma. Lizarazu siyo Msukuma. Hii ni lugha yenu mojawapo ya huko huko Green CityNimeelewa.
Umeandika acha uongo,sijui English.
Kisukuma kumbe chepesi hivi
Hizo sifa zote Sina hata moja.Sema tu sijui kama una mume ama la. Na kama uko toli, mweupe na mwenye msambwanda. Ningeyajua haya basi kwa ulaini kabisa ng'ombe 70 wazee wangebeba mchana kweupeee [emoji16]
Mimi mbona sina hata yao machingereza magumu acheni kunizushia bhana.Lizarazu upunguze makiingereza yako magumu[emoji12]
Sawa makolo boy[emoji3][emoji3]
Mwenye Uzi tumempunguzia mzigo wa mabishano...Maana wamebishana humu ndani Hadi wakatia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawachoki aisee[emoji1373][emoji1373]kile Ni kipaji nacho
Umeona eeh!??Mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Hakuna jipya !!!
Tulishahama ...now ni muda wa story...[emoji23][emoji23][emoji23]Jikite kwenye mada. Acha kutuchanganyia habari.
Akija Marianah mwambie .................Tulishahama ...now ni muda wa story...[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma mna sifa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mimi mbona sina hata yao machingereza magumu acheni kunizushia bhana.
I am just lexicographically more profound with mundane and jejune words.
Mfano kama hapo unakuwa hujaelewa kweli?
Nimwambie Nini?Akija Marianah mwambie .................
Lugha zote za mbeya nazijua..Hicho siyo Kisukuma. Lizarazu siyo Msukuma. Hii ni lugha yenu mojawapo ya huko huko Green City
Unanitia hamasa tu...Hizo sifa zote Sina hata moja.
Mimi mweusi tiii,sura ya baba, shape no9,kifupi nyundo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lizarazu si ajabu ni kabila moja na Kiduku Lilo huyu [emoji16][emoji16][emoji16]Wasukuma mna sifa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naona unajaa kichwa mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah.
Now ntapunguza kukusifia....
Nimeelewa tu I'm just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Who is your crush between those lads?Mbona umeweka picha ya hao wanaume wanaojielewa kwenye huu ujinga??
Huyu mtu ni hatari zaidi ya hatari. Ni wa kuangalia sana. Amenyimwa zile kamati za bunge alizokuwa anapigia hela basi visasi si visasi ali mradi vurugu tupu. Hata leo huyu akipewa cheo kimyaaa hutamsikia tena. Hovyo kabisa !!!Umeona eeh!??
Yaani wanajitia Wana uchungu na nchi ila nao wakipewa nafasi watajaza matumbo Yao.
Hakuna anayeweza kufanya kwa asilimia zote.
Aisee..Lile kabila kwa kweli silipendi.Lizarazu si ajabu ni kabila moja na Kiduku Lilo huyu [emoji16][emoji16][emoji16]