Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sema tu sijui kama una mume ama la. Na kama uko toli, mweupe na mwenye msambwanda. Ningeyajua haya basi kwa ulaini kabisa ng'ombe 70 wazee wangebeba mchana kweupeee [emoji16]
Hizo sifa zote Sina hata moja.
Mimi mweusi tiii,sura ya baba, shape no9,kifupi nyundo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lizarazu upunguze makiingereza yako magumu[emoji12]
Sawa makolo boy[emoji3][emoji3]

Mwenye Uzi tumempunguzia mzigo wa mabishano...Maana wamebishana humu ndani Hadi wakatia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawachoki aisee[emoji1373][emoji1373]kile Ni kipaji nacho
Mimi mbona sina hata yao machingereza magumu acheni kunizushia bhana.

I am just lexicographically more profound with mundane and jejune words.

Mfano kama hapo unakuwa hujaelewa kweli?
 
Mimi mbona sina hata yao machingereza magumu acheni kunizushia bhana.

I am just lexicographically more profound with mundane and jejune words.

Mfano kama hapo unakuwa hujaelewa kweli?
Wasukuma mna sifa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naona unajaa kichwa mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah.
Now ntapunguza kukusifia....
Nimeelewa tu I'm just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona eeh!??
Yaani wanajitia Wana uchungu na nchi ila nao wakipewa nafasi watajaza matumbo Yao.
Hakuna anayeweza kufanya kwa asilimia zote.
Huyu mtu ni hatari zaidi ya hatari. Ni wa kuangalia sana. Amenyimwa zile kamati za bunge alizokuwa anapigia hela basi visasi si visasi ali mradi vurugu tupu. Hata leo huyu akipewa cheo kimyaaa hutamsikia tena. Hovyo kabisa !!!
 
Back
Top Bottom