Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwa akili za Wabongo zilivyo heri usingo maza maana walau watu watajua kuwa kizazi anacho kuliko ugumba aisee.
 
Marriage is most important thing kama ambavyo nyinyi wawili mume na mke lazima mjipe priority ..usitegemee sana kwamba uwepo wa watoto kutawapa furaha ..furaha yenu na upendo wenu comes first .....
Kweli kabisa mkuu. Nawaonea huruma sana akina dada maana unakuta leshamaliza first 11 na mimba haipati... ndoa haipati. anabaki kulalamika tuuu. Wengine wanatembeza kumpata huyo mtoto ila hawajijui kama wana fertility problems zinazohitaji tiba
 
Faraja pekee ya mwanadamu, ni kuwa na uhusiano mzuri na muumba wake. Maisha bila Yesu, simply ni bure
 
Mwenye ndoa ana stara, mtoto ni mipango ya muumba na uzinzi ni jambo linalomkera muumba.
 
Nimelinganisha single mother na childless mother kwa sababu wote wana faraja moja na changamoto moja... sasa ni kwa jinsi kiwango gani wanatumia zaidi ile faraja

...Msingi wa hoja yangu ni kwamba childless situation in most cases is not by choice kwa sababu hakuna wanandoa wanaotaka wasiwe na watoto. Yaani hili ni tatizo, tena kubwa sana na liko juu ya uwezo wa wanandoa, na ndiyo maana wengine wanasema kupata mtoto ni majaaliwa ya mola. Je single mothers hawawezi kuolewa?
 
Vitu unavyovilinganisha havilinganishiki japo unataka kutuaminisha vinalandana.
 
Single mother is also not by choice in most cases, especially mkoa niliopo ndoa zinafungwa sana but watu wakishazaa mtt mmoja au wawil zinavunjika karibu asilimia 80 ya ndoa hz, another case n kwamba mtu kafiwa na mumewe hakuchagua hilo, so sidhan n choice coz single maza weng n matokeo ya mifarakano
 
Pia ktk hili wasichana weng n mabingwa wa kutoa mimba wakiwa shule ili tu asizae kabla ya ndoa so akija tulia na kuolewa asilimia kubwa wanapata tatizo la kushika mimba ila hasemi ng'o kama amewah toa
( ndo mana tunahangaika kwa ma gyno c kama zaman) kila kitu kinabadilika
 
....Sasa we need to define single mothers, hivi divorced na wajane ni single mothers?
 
....Sasa we need to define single mothers, hivi divorced na wajane ni single mothers?
Of course n single mother we umemkuta mtu ana mtt mmoja hujui historia yake analea mwenyewe, what would u call her? Kama sio single mother
 
...Let's also define mwanamke mgumba, je in her entire life ameshawahi kushika mimba?
 
...Let's also define mwanamke mgumba, je in her entire life ameshawahi kushika mimba?
Weng wao ila sio wepes kusema ukweli na marafiki waliopitia hili pia majiran, ndugu ,aseme ukweli na n tayar mke wa mtu hathubutu NB, muamini mwanamke uliemkuta na bikra original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…