Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ah yule si anapenda mwenyewe nyuzi zake zifikishe comments 1000> unadhani anachoka?? Yaani yeye hivi ndiyo furaha yake!!
Mmeanza Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni jamani...
Mkianza Tena atakuja nyenyere hapa...mhurimie amechoka,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah yule si anapenda mwenyewe nyuzi zake zifikishe comments 1000> unadhani anachoka?? Yaani yeye hivi ndiyo furaha yake!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimekumbuka comment yako kwenye Uzi ulee wa kipindi kile..
Nilicheka siku ile haki ya Nani...kila mtu alibaki ananishangaa
 
Aisee acha kunichukulia poa ehee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji10]
Hapa kwenye kisukuma nimekuchukulia poa.
Nisikupake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Mimi nikikusifia/kukosoa kitu ujue Ni kweli..huwa sisifii kitu Cha uongo
 
Tatizo hii lugha nayo pana mno!! Tena kwa sisi ambao hatuiongei mara kwa mara hatujui hata tofauti ya kimatumizi kati ya kundi moja na lingine kwenye neno lile lile.
Ndio maana nimesema wewe kisukuma bado mtupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo kwenye kuogopa ng'ombe tuko wengi mimi kama natembea barabarani nikikutana na ng'ombe nawapisha kama ambulance nawaachia barabara yote wapite kwanza sembuse kuwakamua maziwa??
Mnizubue na magumi huko..nataka Mimi magumi.
Kwa Jinsi ninavyoogopa ng'ombe..sidhani Kama naweza kukamua maziwa.
 
Kuna wakati wakibadilika wanaweza kukutandika na mateke.
Sasa na uskeleton huu nitandikwe na mateke ya ng'ombe ..nitabaki mzima kweli!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Lizarazu wewe ni mzima sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Kwa hiyo kumbe sio mzima????
Acha kunivunja mbavu mm usiku wa manane huu tuhurumiaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…