Umemaliza kila kitu mkuu.
Kuna singo maza mmoja aliniacha eti kapata pedeshee moja lenye mke na watoto juu linafanya kazi TISS kaenda huko kwa mbwembwe kupindua serikali mpaka ananitukana eti sina kifua kazalishwa na pedeshee limesepa sasa hivi yupo tu anahangaika kulea mwenyewe. Halafu pedeshee limegeuka katili linambonda vibaya sana. Hawa wa hivi kwa kweli hawahitaji kuonewa huruma. Shwaini zao kabisa na Mola Aendelee kuwaadhibu. Wako tayari kwenda kuharibu ndoa za wanawake wenzao kisa? Mwanamke msomi mcha Mungu unayejitambua kwa nini udate na mume wa mtu? Lengo lake ni nini kama siyo kumharibia mwanamke mwenziyo ndoa yake? Ujinga mtupu !!!