Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Si kwa sababu wanaona 'hawana cha kupoteza' ndiyo maana wanakubali kirahisi wenyewe wanakwambia maumbile yanaruhusu eti sisi tusijilinganishe nao ila kinachoshangaza ni kwamba magonjwa hayachagui maumbile yanawashika wote na yanawaua wote kwa usawa!!
Halafu tabu mnapata wote hata ambaye ulikuwa nyumbani umelala, Mungu anawaona
 
You are just taking me back to what I said earlier, I don't have to doubt my comprehension because I am absolutely sure that it is not frail.
Mmeanza Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni jamani...
Mkianza Tena atakuja nyenyere hapa...mhurimie amechoka,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja aipate kwanza mpaka miaka 40 sebule haitamaniki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemaliza kila kitu mkuu.

Kuna singo maza mmoja aliniacha eti kapata pedeshee moja lenye mke na watoto juu linafanya kazi TISS kaenda huko kwa mbwembwe kupindua serikali mpaka ananitukana eti sina kifua kazalishwa na pedeshee limesepa sasa hivi yupo tu anahangaika kulea mwenyewe. Halafu pedeshee limegeuka katili linambonda vibaya sana. Hawa wa hivi kwa kweli hawahitaji kuonewa huruma. Shwaini zao kabisa na Mola Aendelee kuwaadhibu. Wako tayari kwenda kuharibu ndoa za wanawake wenzao kisa? Mwanamke msomi mcha Mungu unayejitambua kwa nini udate na mume wa mtu? Lengo lake ni nini kama siyo kumharibia mwanamke mwenziyo ndoa yake? Ujinga mtupu !!!
 
God will do something hallelujah amen
Mungu alishafanya Jambo kwa mtu mwingine kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Siko huku unakofikiria.
 
Mimi amenifurahisha ya juzi la utapeli wa laki mbili...
Kuna nyingine akasema aliona mwanadada hopeless anatumia simu km yake (sumsung gani sijui) eti akaiacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule jamaa anajikubali utafikiri akitembea hagusi ardhi yaani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itabidi nianze kusoma post zake nikiwa peke yangu.... Maana nikiwa mbele za watu naishia kuonekana chizi
Nenda kaangalie.
Utacheka uzimie...anasema wanaume wanapigizana kelele za kutapeliana laki 2 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti wale wakina perimeter na youngkato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani yule jamaa Ni comedian mzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Unasikia mwanamke anakwambia "babu we wanaume wenyewe wachache acha tushikilie hapo hapo akiwa ndani ndiyo wako ila akiwa nje ni wetu" yaani mimi nikisikia mwanamke anaongea maneno kama hayo huwa natamani hata nimchape makofi yaani mtu anajivunia kabisa kuwa mchepuko wa mtu?? Shenzi kabisa!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itabidi nianze kusoma post zake nikiwa peke yangu.... Maana nikiwa mbele za watu naishia kuonekana chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anachekesha hatari..
Title ameandika "wanawake mna Moyo kudate na wanaume wa tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom