Asante
Kuhusu kupenda mtoto, inakuja naturally, hakuna mzazi anataka 'fake love' kwa mtoto wake
Kama mtu anapenda mtoto kikweli, asante. Ila mambo ya kupanga umlaghai mama thru mtoto, maana yake siku ukimwacha utaumiza mama na mtoto, why mtoto aingizwe kwenye game ya wakubwa? (Hapa mama mtoto kulaghaiwa mtoto wake anapendwa bila yeye kujua lazima awe baz.azi)
Hata kuanza kumponda ex wa mtu uliye na mahusiano naye kwangu mie ni BIG NO
Walikuwa na mambo yao, wameshindwana, ni yao. Hata mtu akianza mponda ex wangu nitamshangaa, hajiamini na anajaribu kujikweza kuliko ex kwa maneno. Na akiachana na wewe atakuponda siku moja mahali fulani.
Afu si kila mwanamke yuko after ndoa, kuna wengine wanaachwa wajane at 40's to 50's, bado wanatamani kuwa na mahusiano, lakini ndoa si priority tena ama kuzaa tena kwao sio priority, wanataka kula ki-silencer tu
Siyo rahisi ki hivyo, labda mtu anayetafuta one night stand...!!
Babu DC!!