[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Kwa hiyo kumbe sio mzima????
Acha kunivunja mbavu mm usiku wa manane huu tuhurumiaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitasoma kesho.
Kwenye mtiririko wa list hiyoUmuimgize wapi ?
Dada...Mimi simo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usije kunipa kesi hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
List gani ?Kwenye mtiririko wa list hiyo
Na kwako pia dearWaitoe wapi! Usiku mwema best
Kwa hiyo hata wale ng'ombe 70 hutawasogelea? Nani atakuwa anawakamua maziwa sasa?Kuna wakati wakibadilika wanaweza kukutandika na mateke.
Sasa na uskeleton huu nitandikwe na mateke ya ng'ombe ..nitabaki mzima kweli!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aah wewe hata unilipe sikufundishi kwanza kiarabu kinakutoshaNaomba unifundishe KIINGEREZA.
Mimi mwenyewe sijamjua vizuri jina lake humu.Aah hawezi kujijua
Ni mimi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Japokuwa hakuna Lugha iliyokaa kielimu kuliko Kiarabu ila kujifunza lugha nyingine ni jambo zuri pia.Aah wewe hata unilipe sikufundishi kwanza kiarabu kinakutosha
Umeona eeh!?Aah wewe hata unilipe sikufundishi kwanza kiarabu kinakutosha
Kwa hiyo usukumani kumbe kuna hiyo kazi!??[emoji1751][emoji1751][emoji134]Kwa hiyo hata wale ng'ombe 70 hutawasogelea? Nani atakuwa anawakamua maziwa sasa?
Taaluma gani hiyo ?Umeona eeh!?
Kinamtosha kabisa..
Kwanza taaluma yake sio lazima ajue kidhungu [emoji85][emoji85]
Sijui nimchokoze kidogo....halafu akwaka wote tunaondoka.Weee atafoka kama cobra hapa hapatakalika
Kwanza mnataka kumuingiza wapi ? Sijajibiwa hilo swali.Weee atafoka kama cobra hapa hapatakalika
Mimi mwenyewe sijamjua vizuri jina lake humu.
Ila anakipenda kweli yaani...sema Ni vile hakimpendi Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yupo level yangu ya kuunga unga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi mkinichokoza nawapa AMANI tu.Sijui nimchokoze kidogo....halafu akwaka wote tunaondoka.
Ni njia pia ya kutuwahisha kulala[emoji1787][emoji1787]