Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Haki vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Kwa hiyo kumbe sio mzima????
Acha kunivunja mbavu mm usiku wa manane huu tuhurumiaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wakati wakibadilika wanaweza kukutandika na mateke.
Sasa na uskeleton huu nitandikwe na mateke ya ng'ombe ..nitabaki mzima kweli!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo hata wale ng'ombe 70 hutawasogelea? Nani atakuwa anawakamua maziwa sasa?
 
Aah hawezi kujijua
Mimi mwenyewe sijamjua vizuri jina lake humu.
Ila anakipenda kweli yaani...sema Ni vile hakimpendi Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yupo level yangu ya kuunga unga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeona eeh!?
Kinamtosha kabisa..
Kwanza taaluma yake sio lazima ajue kidhungu [emoji85][emoji85]
Taaluma gani hiyo ?

Kizungu si lugha tu kama lugha nyingine nataka nione mke wa nne muzungu,kwahiyo najipanga kabisa mapemaaa.
 
Hatuchekani mwaya wote tunaungaunga

Back
Top Bottom