Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single mother is a sign of lack of self control, maturity, self acceptance etc. It is a bad signal kwa tabia ya mhusika
Kuna masingle mother wameolewa na ndoa zao zimedumu ila hiyo namba 7 haipukiki hata kama asipomla ila ipo siku lazima wawasiliane. Single mother huwa
1. Wana mawazo hasi kuhusu mwanaume yaani wanamuona mwanaume kama kiumbe chenye makosa ni wachache sana watakaowapaenda waume zao
2. Ndoa kwao siyo kipaumbele kabisa hata kama akiolewa yeye hana hofu ya ndoa kuvunjika, watoto kwanza na kazi. Mwanaume unakuwa namba 3 tena kama ukimkuta na watoto wakubwa kuanzia miaka 10 ndiyo dharau zinaongezeka
3. Huwezi kumpiga mwanae hata kama kakosea, ukimgusa mwanae huona kama humpendi kabisa
4. Hutoa mifano mingi kuhusu huyo jamaa aliyemzalisha. Kuna baadhi pia ya wanawake kuwazungumzia maex wao kwa ubaya au kwa uzuri. Ni jambo la fedheha na la kuchukiza kumzungumzia ex wako kwa mpenzi wako wa sasa
Mimi kiukweli siwezi kuoa single mother au mwanamke anayemzungumzia ex wake. Siyo kama nimeona bandiko la mtoa uzi hapana nina mifano hai kabisa. Wanachuki sana na wanaume tena ukiwa mpole na hauna mambo mengi (hauna michepuko) wanaona kama ndiyo fursa ya kulipiza kisasi. Single Mother wanatakiwa waolewe na single father
 
Hapo kwenye kufuatilia kwa kweli itakuwa ngumu itoshe tu kusema kwamba kila mtu abaki na anachoamini
Huu sio mtazamo bali ndio uhalisia,wewe ukipata muda tu fatilia uone,yaani kuanzia Historia yake imeshikana mpaka matawi yake.
 
Hapana sikubali niambie hata pm shimba naye naona kagoma kunitajia aliyekuwa anamsemea kati ya wale wawili
Embu nisije nikasutwa mimi.
Ukalale mama....tumeharibu Uzi wa Nyenyere...
Ila tumeutembeza hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…