Embu angalia pande zote kama tumebaki mimi na wewe tu humu ndani,kisha uniambie.Hata mimi sijui eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu angalia pande zote kama tumebaki mimi na wewe tu humu ndani,kisha uniambie.Hata mimi sijui eti
Kwa mtazamo wako lakiniNdio hivyo,hakuna lugha iliyokaa kiufundi kuliko Kiarabu.
Kumbe unakipenda kiarabu...? Safi sana.
Aahh kabisa maana kiingereza ni lugha tu na siyo kipimo cha akili ya mtu
Huu sio mtazamo bali ndio uhalisia,wewe ukipata muda tu fatilia uone,yaani kuanzia Historia yake imeshikana mpaka matawi yake.Kwa mtazamo wako lakini
Na mtazamo si lazima uwe uhalisia
HayaEmbu angalia pande zote kama tumebaki mimi na wewe tu humu ndani,kisha uniambie.
Kuna masingle mother wameolewa na ndoa zao zimedumu ila hiyo namba 7 haipukiki hata kama asipomla ila ipo siku lazima wawasiliane. Single mother huwaSingle mother is a sign of lack of self control, maturity, self acceptance etc. It is a bad signal kwa tabia ya mhusika
Kuna muda huwa anajimix....
Ila hadi wewe unamzidi wee
Kama huyu zurri.. Ni bonge la genius[emoji4][emoji4]
Nimemuona Saint anne ataniharibia huyu,nataka tuwe mimi na wewe tu,nifanye yanayo nihusu.Haya
Huu sio mtazamo bali ndio uhalisia,wewe ukipata muda tu fatilia uone,yaani kuanzia Historia yake imeshikana mpaka matawi yake.
Ngoja niwaacheNimemuona Saint anne ataniharibia huyu,nataka tuwe mimi na wewe tu,nifanye yanayo nihusu.
Safi sana,ila usije kuamini jambo kabla ya kulijua,sababu kuna imani za uongo.Hapo kwenye kufuatilia kwa kweli itakuwa ngumu itoshe tu kusema kwamba kila mtu abaki na anachoamini
Asante,mkubwa wako nikiwa nawinda unatakiwa ushike njia.Ngoja niwaache
Nimemuona Saint anne ataniharibia huyu,nataka tuwe mimi na wewe tu,nifanye yanayo nihusu.
Embu nisije nikasutwa mimi.
Ukalale mama....tumeharibu Uzi wa Nyenyere...
Ila tumeutembeza hatari
Napajua,njoo basi. Maana nikahisi kama huoni vile wito wangu wa kiutu uzima.Kwani haupajui tunapotakiwa kuwa mimi na wewe tu au unafanya makusudi??
Safi sana,ila usije kuamini jambo kabla ya kulijua,sababu kuna imani za uongo.
Napajua,njoo basi. Maana nikahisi kama huoni vile wito wangu wa kiutu uzima.
Wewe lala,mimi leo nalinda.Ndiyo ninakijua ninachokiamini sijakurupuka
Usiku mwema tulale jamani