Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ngoja nikupe tafiti, tusiongee kwa utashi tu. Pia kama umri wako ni mkubwa kiasi, utakubaliana nami kuwa ndoa nyingi za kale zilidumu, sababu kubwa ni hii. Lakini pia nikuulize, unaelewa kwa nini mwanamke bikra ana nafasi kubwa ya kudumu na mumewe?

 
Mimi single mother na ukweli ni kwamba mwanangu kwanza,kazi pili na mwanaume ni wa mwisho ktk fikra zng haya mtoa mada Lia vizuri na macho yakuvimbe kabisa
Mimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor milele
SINGLE MOTHER + SINGLE FATHER = NDOA
 
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Na hilo ni tatizo kubwa haswa
 
Ngoja niongelee mtazamo wangu kuhusu single father kuoa single mother. Mwanamume kwa kawaida huwa na mapenzi ya kweli kwa mkewe. Hata kama atazaliwa mtoto mwanamume ataendelea kumpenda mwanamke kwa kiwango kile kile bila kuhamishia mapenzi kwa mtoto.

Mwanamke kwa upande mwingine mapenzi yake hupungua pale tu anapojifungua. Mtoto huwa ndio kila kitu kwake na mume huwa ni chaguo la pili (kama anampenda kweli, vinginevyo atakuwa hata chaguo la 4). Hii inahuasianaje na single mother?

Mwanamume aliye na mtoto akioa mwanamke mwingine mwenye mtoto ni nadra sana kumpata ambaye atampenda mwanaye kikweli na kumlea vema. Mtoto huyo ambaye atahesabika wa kambo kwa mama atanyanyasika kwa kiwango kikubwa sana kiasi kwamba ni wanaume wachache wanaoweza kukabili hili. Hata kama majirani watamuonya kuhusu manyanyaso hayo, bado wengi wa wanaume wanakuwa nhawana sauti kukemea.

Mtoto wa kambo wa mwanamke kwa upande wake atapata mapenzi full tokan kwa baba bila chemne ya ubaguzi, sababu kubwa mlezi ni mama. Mama hulea watoto nyumbani na ni jukumu la kiasili, mwanamume yeye anajali mbunye tu. Hivyo, kuoa SINGLE MOTHER kwa sababu nawe ni SINGLE FATHER sio jibu. Tatizo litakuwa kubwa zaidi.
 
Haya, shukrani.

Leo Liverpool yuko uwanjani.
Kushukuru ndilo Jambo la muhimu..mtu akikuapreciate wewe shukuru.

Liver Anacheza na nani !?
Saa ngapi!??

Ila bado hujamalizana na Mimi kuhusu safari yako ul iyokuja Huku
Hukujibu tena comment yangu
 
Kushukuru ndilo Jambo la muhimu..mtu akikuapreciate wewe shukuru.

Liver Anacheza na nani !?
Saa ngapi!??

Ila bado hujamalizana na Mimi kuhusu safari yako ya Huku.
Hukujibu tena comment yangu

Liverpool anacheza saa nane na nusu dhidi ya Newcastle.

Kuhusu safari nilikuwa tight kweli, hata JF nimeingina mara chache, sema nakuja tena next month.
 
Oh..nitajitahidi niangalie hiyo mechi
Liverpool anacheza saa nane na nusu dhidi ya Newcastle.

Kuhusu safari nilikuwa tight kweli, hata JF nimeingina mara chache, sema nakuja tena next month.
Yaani Bora usingenambia kabisa kuliko kuniambia wakati ulishaondoka[emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…