Silali.Lala sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silali.Lala sasa
Ngoja nikupe tafiti, tusiongee kwa utashi tu. Pia kama umri wako ni mkubwa kiasi, utakubaliana nami kuwa ndoa nyingi za kale zilidumu, sababu kubwa ni hii. Lakini pia nikuulize, unaelewa kwa nini mwanamke bikra ana nafasi kubwa ya kudumu na mumewe?Usalama unaongelea utaupata ukiwa na mke mwenye Hofu ya kweli ya MUNGU, halafu na wewe uwe Mwanaume ambaye unamtunza mwanamke wako na kumpa haki zake.
Kama bikra na wasio na watoto wangekuwa ndo wanawake sahihi tu kwa ndoa basi ndoa zinazovunjika zingekuwa ni zile za masingle mama tu.
Nyenyere kanyamaza kimya na yuko online..au ndo anajiandaa kwa round nyingine?lol
HayaSilali.
Namaanisha niniNdicho unachomaanisha bwana ila tu unashindwa kuwa muwazi
Mimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor mileleMimi single mother na ukweli ni kwamba mwanangu kwanza,kazi pili na mwanaume ni wa mwisho ktk fikra zng haya mtoa mada Lia vizuri na macho yakuvimbe kabisa
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Mimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor milele
SINGLE MOTHER + SINGLE FATHER = NDOA
[emoji38][emoji38] acha uchokozi mkuuNyenyere kanyamaza kimya na yuko online..au ndo anajiandaa kwa round nyingine?lol
Na hilo ni tatizo kubwa haswaMimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor milele
SINGLE MOTHER + SINGLE FATHER = NDOA
Ngoja niongelee mtazamo wangu kuhusu single father kuoa single mother. Mwanamume kwa kawaida huwa na mapenzi ya kweli kwa mkewe. Hata kama atazaliwa mtoto mwanamume ataendelea kumpenda mwanamke kwa kiwango kile kile bila kuhamishia mapenzi kwa mtoto.Mimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor milele
SINGLE MOTHER + SINGLE FATHER = NDOA
Jibu hilo swali acha kulalamaHivi kwanini unalazimisha tofauti kati ya mwanaume na mwanamke kwenye kila kitu??
Don Clericuzio
Huyu ngabu nae Yuko makini Sana.
Kuna kaka mmoja huwa anakipenda kingereza jamani...ila sema kingereza hakijampenda sana,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].naomba niishie hapa
Nimekuweka kwenye list yangu ya Watu wanaojua kingereza kizuri humu..Duh!
Sema ni kwa vile wewe hukijui vizuri, mimi hata kwenye 1,000 bora humu JF siingii.Nimekuweka kwenye list yangu ya Watu wanaojua kingereza kizuri humu..
Usishtuke
Sio lazima niwajue wote..Sema ni kwa vile wewe hukijui vizuri, mimi hata kwenye 1,000 bora humu JF siingii.
Naunga unga maandishi ya kiingereza tu.
Sio lazima niwajue wote..
Ila kwenye list yangu umo
Tena list yangu ni ya Watu waliopo hapa bongo tu
Kushukuru ndilo Jambo la muhimu..mtu akikuapreciate wewe shukuru.Haya, shukrani.
Leo Liverpool yuko uwanjani.
Kushukuru ndilo Jambo la muhimu..mtu akikuapreciate wewe shukuru.
Liver Anacheza na nani !?
Saa ngapi!??
Ila bado hujamalizana na Mimi kuhusu safari yako ya Huku.
Hukujibu tena comment yangu
Yaani Bora usingenambia kabisa kuliko kuniambia wakati ulishaondoka[emoji25]Liverpool anacheza saa nane na nusu dhidi ya Newcastle.
Kuhusu safari nilikuwa tight kweli, hata JF nimeingina mara chache, sema nakuja tena next month.