Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ukishajaza hivyo vitu kichwani mwa mwanao utakuwa ushamkomoa baba ake? Single mothers bhana.....
 
ni ukwel mchungu japo mtaona mnasemwa hata single mother mwenyewe hawezi kufurahi kuona mwanae anaoa mwanamke tayari kazalishwa

wakaolewe na waliowapa mimba
 
Mada kubwa hii.naona vile watu wanawaka hatar.
But mtoa mada kasema kweli tupu kuoa single mama ni sawa na kukumbatia transfoma inayolipuka.Utaungua.
 
Mimi nimeolewa juzi tu na mwanume mwenye mtoto, jamani najutaaaaa. Kama isingekuwa ndoa ya kanisani tungeshaachana, japo sijui yakinishinda nasepa tu. Lakini kusema kweli ni mtihani.

Ndio ungeuweza kweli uke wenza
 
Hata unavyojibu kitotototoo
Pole kwa Demu wako kujazwa mimba
Si kwa Povu hili
Loh! Mi sina dame aliyejazwa mimba. Una strss za maisha nini? Uzi una miezi kadhaa ndio unarudi leo? Mi nina mke and enjoying my times.

Pumbafu.
 
If not you why coming here mamaring? Are you crazy or what?
Who are you to judge and to tell what to do?
Get lost and go to hell.
Who called you here moda faka? It's a free forum here if you think it bothers u just leave it as it is. Those with brains have gotten my point but not an asshole like you. Did I instruct anybody what to do?
I just gave my opinion, asshole.

Go fvkc yourself niqqa. Ikikuuma anzisha uzi wako. Asshole.
 
Mbona kama ume panic hivi??
Hebu tulia kwanza twende taratibu.... Ni nini kimekusibu?
Uandishi una style nyingi. Hapo limekuja kama bango au tangazo lenye kuonesha msisitizo. Tunaweza tumia maneno hayo hayo kuandika na ikaonekana mwandishi alikua ana upole.
 
Mwaka umeisha sijawa single faza. Lete utabiri wako mwingine.
 
Lame excuses. Ni upumbavu wa kiwango cha juu sana mtu kutafuta escape goat.
 
Tatizo lenu vijana mkishauliwa msichague facilities zenye ushindani mnajifanya kukomaa vichwa, ona sasa mnavyopata tabu sn
Raia wewe usiyejua hata kuandika? Mkishauliwa? LMFAO
Facilities zenye ushindani ndio kitu gani? Nawe unajiita msomi?
Go back to school and claim your fees. Huna ulichojifunza kama kuandika basic Swahili ni tatizo.
 
Sasa kama mama yangu alikosea ndio kibali cha wanawake wote kukosea?
Ndo umlaumu kwanza baba yako kutokuwa rijali...!! Alafu uje tena kuanzisha uzi kuhusu wanaume wa zamani na wa sasa kutokuwa marijali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Take empathy, jaribu kufikiria kwamba kama wewe ndio huyo mtoto wa kwanza wa single mother au mdogo wako au mama yako mdogo ndio single mothers
Kwanini tunajisahau hivi Binadamu ??
Tunawashutumu single mothers wakati data zinaonyesha 52% ya watoto tulionao ndoani si wetu Kibaya zaidi unalalamika humu mitandaoni kuhusu single mothers wakati vijana wenyewe wengi siku hizi ni Super Marios
 
Wewe ni muumini wa dini gani hebu tuanzie hapo kwanza??
Hii haihusiani na dini. Mtu awe na dini asiwe nayo, human nature ni ileile. Biology ni ileile kwa mwenye dini na asiye na dini. Ukiotesha katika mazingira muafaka ya kibayolojia kitu kinaota, ndivyo nature ilivyo
 
Baadae utakuja kushangaa huyo mwanao atakavyokuja kuungana na babake ukubwani licha ya urojo wote huo. Na atagundua kumbe wewe ni hovyo sana. Atakuheshimu ni mama yake lakini atakuona boya.
Ukitaka amani be kind to your kid halafu akikua atapima mwenyewe kama baba yake ni muovu au mwema kwa kulinganisha na malezi uliyompa. Lakini ukimjaza ujinga kibao kitakugeuka
 
Hii haihusiani na dini. Mtu awe na dini asiwe nayo, human nature ni ileile. Biology ni ileile kwa mwenye dini na asiye na dini. Ukiotesha katika mazingira muafaka ya kibayolojia kitu kinaota, ndivyo nature ilivyo
Haujajibu swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…