kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Ukishajaza hivyo vitu kichwani mwa mwanao utakuwa ushamkomoa baba ake? Single mothers bhana.....Umezaa na vipuuz wewe..au sijui ndo wanakutegemea so unatake advantage, zaa namm uone ka uyo mwanao ajakuitia mwizi njiani mkikutana, mimi ndo nalea mimi ndo najua nn cha kujaza kwenye ubongo wa mwanangu, na si unajua vile mtoto akikariri kitu hahahaaa.