Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Haibadili ukweli.Haujajibu swali
Eh kazi kweli kweli mbona unakwepa swali kwani ni gumu sana hilo swali??Haibadili ukweli.
Swali gani?Eh kazi kweli kweli mbona unakwepa swali kwani ni gumu sana hilo swali??
Wewe ni mfuasi wa dini gani??Swali gani?
Dini haibadili kitu kwenye huu mjadala. Kwahiyo hilo sitakujibu. Single mother hafai kuolewa na mtu ambaye hajaoa au asiye na mtoto. Huo ndio msimamo wa wengi kwenye mjadala huu. Dini yangu itakusaidiaje hapo?Wewe ni mfuasi wa dini gani??
Nakazia hapaDini haibadili kitu kwenye huu mjadala. Kwahiyo hilo sitakujibu. Single mother hafai kuolewa na mtu ambaye hajaoa au asiye na mtoto. Huo ndio msimamo wa wengi kwenye mjadala huu. Dini yangu itakusaidiaje hapo?
Msimamo wa wengi?? Je kwani msimamo wa Mungu ni upi??Dini haibadili kitu kwenye huu mjadala. Kwahiyo hilo sitakujibu. Single mother hafai kuolewa na mtu ambaye hajaoa au asiye na mtoto. Huo ndio msimamo wa wengi kwenye mjadala huu. Dini yangu itakusaidiaje hapo?
Mungu haoiMsimamo wa wengi?? Je kwani msimamo wa Mungu ni upi??
Kwani wewe umejiumba mkuu?? Mbona unakwepa ukweli bob??Mungu haoi
Ukishajaza hivyo vitu kichwani mwa mwanao utakuwa ushamkomoa baba ake? Single mothers bhana.....Γ«er6
Hujaelewa namaanisha nn...em zaa na mimi kwanza unizingue nilee peke angu...ndo utaelewa...thow imposible.Baadae utakuja kushangaa huyo mwanao atakavyokuja kuungana na babake ukubwani licha ya urojo wote huo. Na atagundua kumbe wewe ni hovyo sana. Atakuheshimu ni mama yake lakini atakuona boya.
Ukitaka amani be kind to your kid halafu akikua atapima mwenyewe kama baba yake ni muovu au mwema kwa kulinganisha na malezi uliyompa. Lakini ukimjaza ujinga kibao kitakugeuka
Wengi ni wauaji hawana raha na hili bandiko maana papuchi imetumika vibaya wanatamani irudi kama zamani wanaishia kuchoma ubani na kuweka malimao,bado kuweka pilipiliWasichana wa JF kila siku wanapewa ujumbe...[emoji23][emoji23]
Hebu nielezeeni hii 7800 ni kitu gani.?Umeharudi mwanza mkuu?
Ulifanikiwa kupata nauli ya kuongezea kwenye 7800? [emoji193][emoji193][emoji193]