Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wewe ni mfuasi wa dini gani??
Dini haibadili kitu kwenye huu mjadala. Kwahiyo hilo sitakujibu. Single mother hafai kuolewa na mtu ambaye hajaoa au asiye na mtoto. Huo ndio msimamo wa wengi kwenye mjadala huu. Dini yangu itakusaidiaje hapo?
 
Nakazia hapa
 
Msimamo wa wengi?? Je kwani msimamo wa Mungu ni upi??
 
No mi sio singo mama na haitatokea nikawa singo mama ila kwa akili yangu mtoto alielelewa na mama tuu wakakati baba yupo yaan sipati picha...na swalal la kumk9moa baba ake ndio ntakua nimemkomoa mana kutokuhudumia haimaanishi hampendi watoto wwnu uwa mnawataka sana ila ndo ivo kuna mda mnakuaga na kaupuuz na nyie.
Ukishajaza hivyo vitu kichwani mwa mwanao utakuwa ushamkomoa baba ake? Single mothers bhana.....ëer6
 
Baadae utakuja kushangaa huyo mwanao atakavyokuja kuungana na babake ukubwani licha ya urojo wote huo. Na atagundua kumbe wewe ni hovyo sana. Atakuheshimu ni mama yake lakini atakuona boya.
Ukitaka amani be kind to your kid halafu akikua atapima mwenyewe kama baba yake ni muovu au mwema kwa kulinganisha na malezi uliyompa. Lakini ukimjaza ujinga kibao kitakugeuka
Hujaelewa namaanisha nn...em zaa na mimi kwanza unizingue nilee peke angu...ndo utaelewa...thow imposible.
 
Nipo hapa kanisani nashuhudia ndoa ya watu waliokutana JF.
Reception mitaa ya Sinza.
Mtoto ni mkali, familia bora na anajielewa. Dogo amepata mwanamke mzuri sana.
Kauli mbiu ya MMU
"Watu walioko humu ndio hao hao ambao wapo mtaani ila hapa unapata uwanda mpana wa kujichagulia"
 
Wasichana wa JF kila siku wanapewa ujumbe...[emoji23][emoji23]
Wengi ni wauaji hawana raha na hili bandiko maana papuchi imetumika vibaya wanatamani irudi kama zamani wanaishia kuchoma ubani na kuweka malimao,bado kuweka pilipili
 
sheremaya,

Mzazi mwenzake angekuwa ameshatangulia mbele za haki ingekuwa sawa. lakini kama bado yu hai, mmmmmmh
 
Unakataa kuoa single mother alafu badae mkeo anazaa nje ya ndoa anakwambia uyo mtoto wako utafanyaje 😀😀😀

Tafakari
 
sheremaya, mama na majina ya ubini kapewa ya babu mzaa mama.

Angalia saaana unaambiwa BORA UKOSEE KUJENGA ILA USIKOSEE KUOA. UTAJUTA
 
Acheni kutusema hivyo ma single mother sio wote tuko hivyo jamani, wengine wanajitambua na kutoka nje ya mahusiano au ndoa ni tabia tu ya mtu
 
Back
Top Bottom