dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
π π π π π π π π[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1223935
Dogo si tunataka kuchomoka kwenye single mother we unataka kuingia.ebu achana na ivyo vituKwa uzuri huo
Jamani natafuta single mother aje WhatsApp direct nimeshindwa kuishi mwenyewe
0784113878
Singo maza ambaye hujui sababu gani aliachika nayeye ni kama kujifunga bomu, pia.......Ila singo naza nawenyewe wana changamoto nyingi duh....Humu tupo wengi sana tukiacha ushabiki wa mitandaoni,Mimi hapa nawakaribisha wenzangu.Ukweli jamani sisi tuliooa Single mom tunapata raha sana yaani Haiadithiwi na ndoa zetu zinadumu sana mimi huu mwaka wa 9 sasa....Nasikitika hao wanaotukandia sie kila siku unasikia wameua au wameuawa na wake zao(Someni Alama za nyakati)..NAKUPENDA SANA SINGLE MOM WANGU!!
Wasingekuwepo wanaoolewa tungejulia wapi matatizo yao? Kwani tukisema vijana wajiepushe na ushoga masna yake hakuna wanaofanya hayo? Jaribu kuelewa concept, usitetee uharibifu kwa sababu tu kwenye jamii wapo. Simamia kweli daima, usisombwe ni upepo wa mazoea, angalia msingi wa jambo naw utakuwa salama na kizazi chako, Mwenyezi Mungu akubariki
Acha kabisaHahahaha.
Hii mada bado inalindima
Maana yake ni"Single mother" Kiswahili chake ni nini?
Ila kwa maana ya haraka haraka isiyo rasmi ni"Single mother" Kiswahili chake ni nini?
Kwani mama huwa wangapi?Maana yake ni
Mama mmoja
Ila kwa maana ya haraka haraka isiyo rasmi ni
Binti aliyezaa nje
AhsanteBora single mom ataliwa na mzazi mwenzie.
Hao wengine sasa wasio single mom.
Watu wanaangalia madhaifu ya kingono tuu! Kuna faida zaidi ya hayo madhaifuMtu akifaa kwa ajali ya garii haimaanishii hatutapanda tena gari bali tunaamini tulilopanda sisi tutafikaa salamaaa
Mtu aliyeoaa single mom akililiwaa na mzazi mwenziee haimaanishii nawewe ukioaa single mom ataliwaa mwaminii Kama kweli umempenda USIKARIRI
Huwa wengi na sio akina mamaKwani mama huwa wangapi?
Umenichanganya, sijakuelewa. Kama sio kina mama wataitwaje "mom" au "mother".Huwa wengi na sio akina mama