Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwa uzuri huo
Jamani natafuta single mother aje WhatsApp direct nimeshindwa kuishi mwenyewe
 
Humu tupo wengi sana tukiacha ushabiki wa mitandaoni,Mimi hapa nawakaribisha wenzangu.Ukweli jamani sisi tuliooa Single mom tunapata raha sana yaani Haiadithiwi na ndoa zetu zinadumu sana mimi huu mwaka wa 9 sasa....Nasikitika hao wanaotukandia sie kila siku unasikia wameua au wameuawa na wake zao(Someni Alama za nyakati)..NAKUPENDA SANA SINGLE MOM WANGU!!
Singo maza ambaye hujui sababu gani aliachika nayeye ni kama kujifunga bomu, pia.......Ila singo naza nawenyewe wana changamoto nyingi duh....
 
Kuna watu wapuuzi sana. Eti usiwe na single parent kisa? Atatiana na mzazi mwenzie.

Kuna id kibao zinatamba kutembea na wake za watu mpaka kuwala ndogo na hao wake siyo single parents.

Kama akili yako itakwamia kwenye ngono tu hata kuishi na asiye single parent utaona mtihani.
 
Kwani haya mambo ya kuwaponda single mothers yameanza leo?? Mbona wameanza kukanywa tangu karne iliyopita je kuna mabadiliko yoyote kwenye jamii?? Hakuna bali kila kukicha ndiyo wanazidi kuongezeka unajua kwanini?? Ni kwa sababu jamii imeyafumbia macho maovu ya wanaume na kuwatupia lawama zote wanawake kwamba wao ndiyo chanzo cha kila kitu!!

Imagine mtu anasema mwanaume kuzalisha bila ndoa ni sawa ila mwanamke kuzalishwa bila ndoa ni kosa hivyo wanaume wasijitunze wanawake ndiyo wajitunze!! Mtu kama huyu hajui tu ni jinsi gani anavyozidi kuwapa kichwa wanaume na kuwafanya wajione hawana hatia kwa mambo wanayoyafanya eti kwa sababu tu hawapati madhara mwisho wa siku hata wanawake wakisema wajitunze wanaume hawawezi kuacha kuendelea kuwatongoza kwa nia ovu kwa sababu wameshaambiwa wao kufanya hivyo siyo kosa na hawapati madhara

Kwahiyo lazima watatumia kila mbinu kuendelea kuwashawishi hao wanawake wakubali na kumbuka wanawake nao ni binadamu kama ninyi hawawezi kuchomoa kwenye vishawishi vyote kama ambavyo hata ninyi wanaume hamuwezi kufanya hivyo!! Tatizo haya mambo tukisema jaribuni kuzionya jinsia zote mbili ziache maovu hamtaki mnasema tunataka haki sawa (kana kwamba kuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi) yaani mnaleta maswala ya haki sawa hadi kwenye maovu!!

Basi sawa mimi naomba jamii iendelee kumshikia bango mwanamke peke yake huku ikimsifia mwanaume kwa ubaharia wake na kumuambia kuwa aendelee kufanya anavyojisikia kwa sababu yeye ndiye mwenye ndoa na yeye ndiye anayemiliki dunia (utadhani kajiumba mwenyewe)!! Halafu tuone labda ipo siku hizi juhudi zitakuja kuzaa matunda mimi huo unafiki ulishanishinda kwa kweli siwezi kushikia bango jinsia moja kwenye maovu ambayo jinsia zote mbili zinahusika ila tatizo ukisema hivyo ndiyo utaambiwa unataka haki sawa (maana ndiyo utetezi uliobaki kwa wanaume)!! Okay mimi kwani nina tatizo basi ninyi endeleeni kuwaponda single mothers hivyo hivyo ipo siku wataisha wote yaani wanaume waacheni kabisa msiwaguse kwenye hayo mambo maana hawahusiki na hawapati madhara!!
Wasingekuwepo wanaoolewa tungejulia wapi matatizo yao? Kwani tukisema vijana wajiepushe na ushoga masna yake hakuna wanaofanya hayo? Jaribu kuelewa concept, usitetee uharibifu kwa sababu tu kwenye jamii wapo. Simamia kweli daima, usisombwe ni upepo wa mazoea, angalia msingi wa jambo naw utakuwa salama na kizazi chako, Mwenyezi Mungu akubariki
 
Mtu akifaa kwa ajali ya garii haimaanishii hatutapanda tena gari bali tunaamini tulilopanda sisi tutafikaa salamaaa
Mtu aliyeoaa single mom akililiwaa na mzazi mwenziee haimaanishii nawewe ukioaa single mom ataliwaa mwaminii Kama kweli umempenda USIKARIRI
 
Mtu akifaa kwa ajali ya garii haimaanishii hatutapanda tena gari bali tunaamini tulilopanda sisi tutafikaa salamaaa
Mtu aliyeoaa single mom akililiwaa na mzazi mwenziee haimaanishii nawewe ukioaa single mom ataliwaa mwaminii Kama kweli umempenda USIKARIRI
Watu wanaangalia madhaifu ya kingono tuu! Kuna faida zaidi ya hayo madhaifu
 
Back
Top Bottom