Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii


Eti uhai wa ndoa unakua determined na bikira hahaaa ingekua it is that important wanawake woote wangeziacha zibaki mpaka waolewe ili wadumu ndoani, acha kuishi ulimwengu wa kufikirika ndugu! ,,, ni kwa vile tu hatuna alama usoni km huyu ni bikira ama not ila ingekua una alama usoni ukiwa bikira sijui ungefanyaje baada ya kugundua labda dada zako wote hawanazo , bado ungepreach hapa JF ubikira??

Single mothers wako veeery strong eti social media sijui zimefanyaje...uhalisia upi unaoongea?? Si tunaona mitaani wakipambana kuhakikisha wao na watoto wao wanapata chakula.. kuwa strong ni ku FACE RESPONSIBILITIES,,,,

Kisha ukahaba upo sababu jinsia zote mbili zimeridhia unacholalamikiwa in this topic ni kuwalaumu wanawake tu ndio wako responsible, ukweli km wanaume wangebaki bikra then wanawake nao wangebaki bikra end of!

Mwisho research jiongeze mwenyewe kuna watu wanafanya research wakiwa biased,,,anyway I also found this research have a look lol https://www.google.co.uk/amp/s/www.independent.co.uk/life-style/love-sex/ideal-number-sexual-partners-before-settling-down-sex-man-woman-marriage-study-a7717571.html?amp
 
Ukweli utasemwa no matter what. Turejee kwenye misingi ya asili. Najua neno hili ni gumu na sio kila mtu aweza kulipokea. No hatred, no nothing, tuwakanye binti zetu waepuke ukahaba waitunze bikra kwa ajili ya kufunga mkataba wa ndoa

Mkuu Nyenyere I hope wewe ni bikira ndio maana unasisitiza kuoa bikira.... it's a good thinking😁😁

Biblia imetoa miongozo mingi katika maisha ya wanadamu nikukumbushe tuu ✍signature yangu hapo chini 👇 muongozo wa biblia. Acha kuwasemea vibaya wanawake waliozaa
 
Huu uzi umefika page ya 120! Anyways, najua nachukiwa humu JF, ila nawaombea single mothers, Mungu awafanyie wepesi. So much hatred.
Nikisema ukweli halisi, mara nyingi single mother ni dalili ya mwanamke asiyefaa kuwa mke wa ndoa. Why?

1. Kama kazaa na mwanamume mwenye ndoa unajiuliza iweje mwanamke anayefaa kwa ndoa ajihusishe na mume wa mtu? Ni dalili mbaya kwake

2. Kama kazaa na kijana mwanafunzi unajiuliza akili ya huyu mwanamke kama anaweza kumudu pressure za ndoa

3. Kama kazaa na kijana asiye na mbele wala nyuma ........

4. Kama kazaa na mtoto wa mama ......

5. Kama hana uhakikababa ni yupi.....

6. Kama kazaa na mwanamume single kisha kamkataa maana yake hatoshi kuwa mke...

Na kadhalika
 
Mama D[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpole bila bikra nyie mnapasha sana viporoo
 

1.Ana upendo ! Kuona alipewa Maisha chance ya kuja duniani, na yeye pia atoe nafasi kwa kiumbe kingine ...anafaa kuwa mke kwa upendo aliouonyesha!

2.Anayatambua majukumu yake na kuyakabili (responsibilities ) hivyo anafaa kuwa mke

3. Mvumivilivu despite kuonwa na kusemwa vibaya Na baadhi ya watu juu ya Maisha yake na mwanae anavumilia yote hivyo anafaa kuwa mke

Sacrifice wanazotoa single mothers ni sign ya u self-less atakupenda wewe na ndugu zako,, single mothers oyeee lols
 
Kwahiyo ukioa bikira ndiyo hawezi kuchepuka??
Wanachepuka sana tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila sio sababu kamiss dyudyu ya ex inatokea kwa sababu nyingine sanaa...!!
 
Wanachepuka sana tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila sio sababu kamiss dyudyu ya ex inatokea kwa sababu nyingine sanaa...!!
Sawa jibu na hilo swali la pili
 
Wanachepuka sana tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila sio sababu kamiss dyudyu ya ex inatokea kwa sababu nyingine sanaa...!!
Oohh kwahiyo kumbe point ni kutafuta mwanaume mpya na siyo ex
 
Sawa mkuu

Ila hakuna mstari kwenye biblia umesema mwanamke aliyekwisha zaa asiolewe imetoa hata muongozo kwenye hilo
Na bikra zipo madukani siku hizi nyingi tuu kila mwanamke anaweza kuwa nayo

Cha maana mwombe Mungu akupe mwanamke sahihi

1. Biblia inasema mwanamke asiye bikira apewe talaka
2. Bikra za madukani ni utapeli usio mashiko. Tabia itaumbua
3. Mwanamke sahihi atoka kwa Bwana, sasa Mungu hawezi kukupa kahaba
 
Rebeca 83,Kwa nini unalilia u single mother? Hao walio strong wangeandamana kwa RC? Nitakuwekea takwimu mbalimbali za uhalifu, uvutaji bangi, ukahaba n.k. uone souce kubwa ni nini
 
Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi. Pia kushaui not to marry aliyezaa ni biblical!! Labda nikuulize madam, unaelewa nini pale bibloa inapoongelea kuwa mwili mmoja? Halafu Mungu ni lini anakuwa shuhuda wa mke wa ujana?

Yako mengi uanze na hayo
 
Sasa kama una tabia mbovu kwanini asikupe kahaba?? Aise daah!!
1. Biblia inasema mwanamke asiye bikira apewe talaka
2. Bikra za madukani ni utapeli usio mashiko. Tabia itaumbua
3. Mwanamke sahihi atoka kwa Bwana, sasa Mungu hawezi kukupa kahaba
 
Kwa nini unalilia u single mother? Hao walio strong wangeandamana kwa RC? Nitakuwekea takwimu mbalimbali za uhalifu, uvutaji bangi, ukahaba n.k. uone souce kubwa ni nini

Siulilii usingle mother, na nishakuambia sio kila tafiti ni ya kuiamini I..there are a lot of garbage out there,,,antisocial behaviour sio usingle mother ndio source, antisocial behaviour is to do with harsh and inconsistent parenting style..watoto wanakua na anger issues na sometimes inequality and deprivation ndio ina play .. watoto wa certain area are more likely to misbehave
 
Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi. Pia kushaui not to marry aliyezaa ni biblical!! Labda nikuulize madam, unaelewa nini pale bibloa inapoongelea kuwa mwili mmoja? Halafu Mungu ni lini anakuwa shuhuda wa mke wa ujana?

Yako mengi uanze na hayo

Mkuu Nyenyere usisahau hiyohiyo biblia inasema kwa Mungu hakuna kuoa wala kuolewa🤣🤣🤣
 
Sasa kama una tabia mbovu kwanini asikupe kahaba?? Aise daah!!
Huyo ni shetani. Mungu hachangamani na uchafu. Wenye tabia mbovu ni wa shetani, ndivyo biblia yangu inavyosema.
 
Mkuu Nyenyere usisahau hiyohiyo biblia inasema kwa Mungu hakuna kuoa wala kuolewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kwa Mungu mkuu, inasema kwenye kiama. Kumbuka ni pale walipoulizwa mke aliyeolewa na wanaume saba kwenye kiama atakuwa wa nani.

[Marko 12
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao.
²⁰ Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao.
²¹ Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika;
²² hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.
²³ Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye.
²⁴ Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?
²⁵ Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.
 
Suala la kuzaa hovyo wala halina mjadala, pia halina namna unaweza kulihalalisha. Ni tabia isiyofaa katika jamii na ni kuwanyima watoto malezi bora. Garbage ni pamoja na kujaribu kuaminisha ouwa hilo ni jambo la kawaida, ni kinyume na noms za jamii isipokuwa kuna kizazi kimekuwa programmed kuamini ni natural. Hata wanyama hawazai bila utaratibu. Mind programming ni jambo la hatari sana
 
Huyo ni shetani. Mungu hachangamani na uchafu. Wenye tabia mbovu ni wa shetani, ndivyo biblia yangu inavyosema.
Kwahiyo wewe kwako mwanaume mwenye tabia mbovu ni yupi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…