Hiyo hoja mfuKuvaa kwa kujisitiri siyo suluhisho, nilishakuambia kuna wanaume wanatongoza hadi wanawake wanaovaa mabaibui kila siku.
Ni kweli, mmojawapo ni mimi ndio maana nawaonya mabinti walio kwenye hatari bado.Basi tambua kuwa hata wanaume wapo waliojitambua na kuutambua ukweli na kujirudi
Kwqni wanaohubiri kuacha dhambi wanawaponda? Una tafsiri potofuSasa basi wewe unawaponda humu mitandaoni ili iweje??
Ndivyo unavyotafsiri, wewe ni ,pinzani wa kila kituNdiyo unachokimaanisha hicho!!
Nimeshakupa, kqmq unabisha kamuuloze AdamAndiko linalosema kwamba wanawake waache maovu ili wawasaidie wanaume nao kuacha maovu (kama ulivyosema wewe)
Mungu Mwenyezi ameonya wanawake kujihusisha na ukahaba, ina maana kubwa sana. Ila kwa wanawake wenye mtazamonhasi kama wewe watamwona anapendelea kumbe ina maana kwa mwanamke na mwanamume piaLakini angalau Mungu aliyetuumba hajaruhusu wanaume wawazalishe hovyo wanawake kwa sababu yoyote ile
Pamoja mkuuAisee nimekuelewa sana kwa uzi huu mkuu .Cjui nilikia wapi kujaa siti ya mbele kukupa pig up .
Umeeleza ukweli mtupu .Nilishasema issue ya kuoa single mama siwezi kamwe matatzo yake ndo Kama ulivyoeleza .Bora nibaki single Milele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nikishindwa kabisa nitaoa hata mkubwa zaidi yangu lakin asiye na mtoto
ni wote
Yaani ona ulivyo mjinga unashindwa hata kujua aina za maswaliKumbe unalo jibu lako.
Ni mfu kwako kwa sababu wewe unaishi kwenye ulimwengu wa peke yako, ulimwengu wa kufirika.Hiyo hoja mfu
Wanaume wanaojitambua ni wale wanaojua kwamba wote wanaume na wanawake wanakosea na wote wanatakiwa kuonywa, siyo wewe mnafiki na kama na wewe unajiona ni mmoja wa wanaume wanaojitambua basi nafikiri kuna haja ya kubadili maana ya neno "kujitambua".Ni kweli, mmojawapo ni mimi ndio maana nawaonya mabinti walio kwenye hatari bado.
Uzi wako unawataka wanaume wasioe single mothers kwa sababu zako hizo ulizoziorodhesha, kwa maana hiyo hapo hauwaonyi bali unawaponda.Kwqni wanaohubiri kuacha dhambi wanawaponda? Una tafsiri potofu
Jaribu kuanzisha uzi unaowaonya wanaume ndiyo utapima kama mimi ni mpinzani au laNdivyo unavyotafsiri, wewe ni ,pinzani wa kila kitu
Hebu iquote hiyo comment uliyonipa hilo andiko niioneNimeshakupa, kqmq unabisha kamuuloze Adam
Kwani hakuna sehemu aliyowaonya wanaume?? Mungu hana upendeleo wala ubaguzi ila ninyi waja ndiyo mna upendeleo na ubaguzi!!Mungu Mwenyezi ameonya wanawake kujihusisha na ukahaba, ina maana kubwa sana. Ila kwa wanawake wenye mtazamonhasi kama wewe watamwona anapendelea kumbe ina maana kwa mwanamke na mwanamume pia
Mkuu kwahiyo unashauri hata mwanamke asiye na mtoto asikubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kwa sababu mechi itaanza moja bila??Ogopa Sana.
Kabla Mechi Haijaanza Tayari "MOJA BILA "
Hapa hatujadili uwepo wa single mothers, tunachosema ni kuwa hawafai kuolewa.Tukichimbua chanzo cha single mothers na kukifanyia kazi basi itasaidia kupunguza uwepo wao na siyo eti kufurahia ongezekao lao halafu waje kunyanyapaliwa