Kuna muda huwa una points za maana.
Ni vile tu humu wanachekewa kukuoa.bibie.
Wafurahi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alipatwa na nini ?Nimemkumbuka sana Kijana wa Mwl. Mwakasege.
Mpaka akadondoka kwa shinikizo la damu.
Ni mrembo kweli ?Marrianah uko powa kabisa? Nimekumiss sana mrembo [emoji8]
Very rude answerSawa
Nimewasilisha sifa anayestahili Mwanamke yeyote sababu uzuri na ubaya uko machoni pa Mtu binafsiNi mrembo kweli ?
Nafikiri kabla haujasema my answer was rude ungesoma kwanza comments zake juu yanguVery rude answer
AsanteHayo yameshindikana na ni makahaba makubwa
Tatizo ni pale unapooa mwanamke mzoefu wa mapenzi, hujui kapitia staili ngapi, mikunjo ya namna gani n.k. Utakuta kuna vidume kadhaa vilikuwa vinamkuna kwa staili tofauti, sasa wewe mmoja na show yako sio rahisi kukidhi kiu yake. Ni kosa kubwa kuoa mwanamke mwenye uzoefu na sex, utasaidiwa sana kumkata kiu.hapana mkuu,kwa uzoefu wa kuwa na nyie....mnapenda sana kupigwa hii kitu mpaka mseme asante.Wengine huwa wanawaonea aibu wake zao,na kuwapa show za kawaida bila kujua inahatarisha uhai wa ndoa.
Ndio maana ni dhambi kubwa kujichukulia single mama. Gharama zake ni kubwa mno!!Inawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake
Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
Mwanamke ataolewa kujenga ukoo wa mwanamume. Hata kama mwanamume alikengeuka akazaa nje ya ndoa, akijirudi atajitafutia kigori saafi na kuoa, binti awezaye kumlelea watoto na kumzalia wengine. Mwanamke akiolewa hubadili jina la ukoo kwa sababu hana ukoo, anaunganishwa na ukoo wa mwanmume, hivyo anajenga ukoo huo.Siyo 50/50 bali huo ndiyo ukweli,, lakini kwa vile watu mmekengeuka badala ya kufuata maandiko ya Mungu mnafuata mitazamo ya jamii na ndiyo hapo mnapojikuta mnalazimisha utofauti wa hizi jinsia mbili hadi kwenye dhambi..
Kwamba eti jinsia moja inaruhusiwa kutenda dhambi hii lakini jinsia nyingine hairuhusiwi kutenda dhambi hii ukiuliza kwanini eti ndivyo tamaduni zilivyokuwa tangu enzi na enzi kwahiyo jamii ndiyo inaona hivyo kwani what is jamii?? Kwani jamii ndiyo iliyokuumba na je aliyekuumba ndivyo anavyotaka hivyo??
Halafu hawa watu wanaofuata mitazamo ya jamii ndiyo wale unakuta mwanamke kafikisha miaka 26 tu hajaolewa anaanza kuhangaika kwa waganga kwa kujiona ana mikosi eti kwa sababu tu jamii imemnyooshea vidole kwamba kwanini hajaolewa!! Na ninashindwa kuelewa kwanini jamii iwe na mitazamo ya ajabu kiasi hicho tena mitazamo iliyo kinyume na matakwa ya Mungu!!
Yaani napata wakati mgumu kuelewa inakuwaje mtu anaruhusu jamii imuamulie maisha yake tena jamii hiyo hiyo ambayo nayo ina maovu mengi na ina matatizo mengi tu eti ndiyo iwe hakimu wa maisha yake kiasi cha huyo mtu kushindwa kuishi kwa amani kwa sababu ya kufanya vile inavyotaka jamii na ndiyo maana hata ndoa nyingi za siku hizi hazidumu maana unakuta mwanamke hajaolewa kwa sababu yuko tayari bali kaolewa kwa sababu ya kuhofia umri kuenda na kukosa mume na yote hiyo inatokana na nini?? MITAZAMO YA JAMII!!
Watakuwa wako kipindi ambacho hawajapata ufahamu, lakini baada ya hapo si wako tena. Watoto wako ni wale waliotoka viunoni mwako tu, mengine ni kujifariji na kujipoteza. Time will tell.Kabisa, watoto ni watu Wema, unawachukia nini? Wawalea tu kama wakwako, ila mawasiliano hayaruhusiwi kabisa
Mkuu hivi mwanaume aliyeoneshwa staili nyingi na wanawake tofauti akioa mwanamke asiyezijua hizo staili ndiyo hatatafuta wanaozijua nje??Tatizo ni pale unapooa mwanamke mzoefu wa mapenzi, hujui kapitia staili ngapi, mikunjo ya namna gani n.k. Utakuta kuna vidume kadhaa vilikuwa vinamkuna kwa staili tofauti, sasa wewe mmoja na show yako sio rahisi kukidhi kiu yake. Ni kosa kubwa kuoa mwanamke mwenye uzoefu na sex, utasaidiwa sana kumkata kiu.
Umepotea kwa kuyakataa maarifa. Mungu hapangi ndoa, bali amekupa utashi (free will). Usije kumshutumu Mungu kwa matatizo yako ya kwenye ndoa, Yeye ni shahidi tu wa MKE WA UJANA. Ndoa pekee zilizo kwenye rekodi ambazo Mungu alizipanga mwenyewe ni ya Adam vs Hawa na nabii Hosea vs Gomer.Nimewauliza hivyo ili nijue kwamba ninyi mkisema single mothers wasiolewe mnawaongezea nini au mnawapunguzia nini kwenye maisha yao ilihali wapo wanaume wenzenu wengi wanaojitambua wanawaoa kila iitwapo leo na ndoa zao zinadumu
Yaani ninyi wanaume wa humu JF na hizi kejeli zenu za kila siku kuhusu single mothers nilitegemea mkisema wanaume wasioe single mothers basi wanaume wote hapa bongo au kote duniani watafuata mitazamo yenu na pengine labda ipo siku single mothers wataacha kabisa kuolewa lakini wapi
Tatizo lenu wanaume huwa mnadhani Mungu ni wenu peke yenu na kwamba eti ndoa inapangwa na wanadamu!! Sasa kama anaruhusu wanaume wenye watoto waoe wanawake wasio na watoto kwanini asiruhusu wanawake wenye watoto waolewe na wanaume wasio na watoto??
Tena ukizingatia hao wala hawakujibebesha mimba wenyewe lakini mwanaume akizalisha bila ndoa anaoa vizuri tu ila mwanamke akizalishwa bila ndoa kuolewa ndiyo iwe kizaazaa?? Huwa nawaambia siku zote Mungu ni wa wote wanaume na wanawake na yeye ndiye anayepanga ndoa mtake msitake God is never unfair like humans na ndiyo maana haya malalamiko yenu hayajawahi kuisha humu mitandaoni wala huko mitaani na kamwe hayatakuja kuisha!!
Oohh kwahiyo mwanaume kuzaa nje ya ndoa ni sawa kwa sababu kuzaa kwake kupo tofauti na kuzaa kwa mwanamke nje ya ndoa??Mwanamke ataolewa kujenga ukoo wa mwanamume. Hata kama mwanamume alikengeuka akazaa nje ya ndoa, akijirudi atajitafutia kigori saafi na kuoa, binti awezaye kumlelea watoto na kumzalia wengine. Mwanamke akiolewa hubadili jina la ukoo kwa sababu hana ukoo, anaunganishwa na ukoo wa mwanmume, hivyo anajenga ukoo huo.
Hivyo kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamume kuzaa nje na mwanamke kuzaa nje. Mwanamke akizaa nje ya ndoa atajenga ukoo wa mwanamume aliyemzalisha na kumwacha, ndio maana watoto watoto watatafuta kujitambulisha kwenye ukoo wa mwanamume. Mwanamke huyu akiolewa ama kuzaa na mwanamume mwingine atafungamanishwa na ukoo huo pia kupitia ndoa hiyo ama watoto hao. Hivyo atakuwa na wanaume wawili halali kabisa.
Kuoa mwanamke aliyezaa na mwanamume mwingine ni kukubali kuwa mume mdogo (mchepuko) kwa mke wa mtu, ingawa utajidanganya kuchepuka kisheria.