Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila twende mbele turudi nyuma hili suala la kutongoza ni sula mtambuka.

Kila mtu ana namna yake ya kimazingira ambayo anataka liwe.
Haswa, hili swala halina kanuni moja.
 
Nilikuwa najiuliza mbona humu JF wanawananga sana single mothers kuwa hawaachani na baba wa watoto wao, nikafikiria kwa msimamo tulionao wanawake tukiacha tunaacha kweli, wanatusingizia.

Lakini kwa nilichoshuhudia kwa macho na masikio yangu, sijui wanakwama wapi hawa wanawake wenzangu jamani.

Ni mama wa watoto wawili aliyezaa wakati anasoma chuo fulani na mwanaume fulani kipindi hicho akiwa chuo, mtoto wa kwanza alimzaa akiwa mwaka wa kwanza na wa pili alimzaa wakati anahitimu chuo.

Kwa bahati nzuri akapata kazi kwenye kampuni fulani na kwa jeuri yule mwanaume aliyekuwa naye chuo alimuacha katika mazingira ya kutatanisha na mawasiliano yakawa yamekatika kipindi wamehitimu chuo.

Baada ya mwaka 1 huyu mdada akawa amepata mwanaume mwingine akamuoa tu vizuri kwa harusi kubwa. Cha ajabu wiki kama 4 zimepita yule kaka aliyezaa naye watoto wawili akaibuka, akamtafuta, wakagombana na wakabembelezana wakakubaliana huyo kaka atakuwa anamtumia hela mdada ya kuwahudumia watoto, muda huo akijiandaa kumwambia mume wake kuhusu hao watoto awarudishe kwa baba yao.

Wakakubaliana kuwa siku fulani watakutana hoteli fulani atawapeleka watoto wakamsalimie baba yao, bila mume wake kujua.

Siku ya siku mdada akawapeleka hoteli nje kidogo ya mji, basi wakakutana, ila mdada akawa na msimamo kuwa endapo ex atajaribu kuleta ushawishi hatakubali hata siku moja, bahati mbaya mtoto wao wa kwanza akawa anaongea maneno kwa baba na mama ya kuwaleta pamoja hadi mdada akawa na huruma kwa ex wake akajikuta anataka avunje ndoa arudi kwa ex wake na huku ex wake ana mke na mtoto 1.

Juzi mume wa ndoa anapata mchezo mzima anamuuliza mke wake anasema ni kweli anadai talaka arudi kwa baba watoto wake.

Nimeamini wanawake muda mwingine hatutumii akili. Alikutelekeza, akakuacha mwenyewe ukatunza watoto mwenyewe from nowhere mnarudiana kisa maneno ya mtoto wao wa kwanza yamemfanya alie, amhurumie na amrudie ex wake.
 
Write your reply...usijali mkuu Hawa ni kwa ajili ya matumizi temporary tu ndani tunaweka watoto bado wabichi wanaita


halafu waendelee kujipa moyo kwamba hatuwatishi huu msimamo ni wa wanaume wa jamiiforums niwaambie tu huko mtaani siku hizi wanajua athari za hawa watu
 
Back
Top Bottom