Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ni kweli huwa mnakubali yeyote anayewatongoza?
Tunaojielewa hatufanyi hivyo,, halafu pia ninachoshangaa ni kwamba wanaume huwa hampendi kushare wanawake lakini unakuta mwanaume anamtongoza mwanamke anaambiwa "tayari nina mtu" ila bado anaendelea kutongoza sasa hapo anamaanisha nini kwamba anataka kushare na mwanaume mwenzie au anataka huyo mwanamke amuache huyo mwanaume aliye naye wakati huo halafu aende kwake??
 
Tatizo huwa unawachukulia serious sana mabaharia wanapokuwa kwenye harakati zao, mpaka unafikia hatua ya kuwatumia kama reference kwenye mijadala serious.

Hata hivyo kwa hii unachokisema hapo mwanamke anatakiwa atumie akili yake kumkwepa huyo bazazi. Kweli wewe unaamini mwanaume unayemwambia nina mtu Lakin bado anazidi kukutongoza atakuwa yuko serious na wewe kweli na atakuheshimu?
 
Wanaume wengi wanasema eti wameshagundua kuwa wanawake wengi tunaosemaga kwamba tayari tuna wapenzi tunakuwaga waongo na tunaitumiaga hiyo kauli kama kisingizio tu cha kuwakataa wao eti ndiyo maana wanaendelea kututongoza na hawakati tamaa,, which is ridiculous ofcourse..
 
Tunaojielewa hatufanyi hivyo,, halafu pia ninachoshangaa ni kwamba wanaume huwa hampendi kushare wanawake lakini unakuta mwanaume anamtongoza mwanamke anaambiwa "tayari nina mtu" ila bado anaendelea kutongoza sasa hapo anamaanisha nini kwamba anataka kushare na mwanaume mwenzie au anataka huyo mwanamke amuache huyo mwanaume aliye naye wakati huo halafu aende kwake??
Sasa wewe una mtu yaani mpenzi tu, kwa nini usitongozwe wakati unatumikia ukahaba? Kama ni mke wa ndoa ukiona unatongozwa hovyo basi jitazame sana vitendo vyako, mfano uvaaji, mahusiano na watu. Ukijiweka kimalaya hakuna mwanamume ataona tofauti, ndoa itaonekana bahati mbaya tu kwako. Mwanamke anayejistahi akiingia kwenye ndoa wanaume humwepuka kuogopa aibu. Lakini asipojistahi ataonkana bado yupo sokoni kusaka mijeledi
 
Nilisahi kuwa naye mmoja. Wanakiburi halafu wanajikuta wanajua kila kitu ubishi na maneno ya choko choko ndio yao.
 
Dada Rebecca wewe ni single mother mtarajiwa nini?

No offence intended.

Mkuu Lizarazu kila ninapofatilia huu uzi najiuliza na mimi niliyepigania ndoa yangu kiasi kile

na ikashindikana unaniitaje
 
Sasa wewe una mtu yaani mpenzi tu, kwa nini usitongozwe wakati unatumikia ukahaba? Kama ni mke wa ndoa ukiona unatongozwa hovyo basi jitazame sana vitendo vyako, mfano uvaaji, mahusiano na watu. Ukijiweka kimalaya hakuna mwanamume ataona tofauti, ndoa itaonekana bahati mbaya tu kwako. Mwanamke anayejistahi akiingia kwenye ndoa wanaume humwepuka kuogopa aibu. Lakini asipojistahi ataonkana bado yupo sokoni kusaka mijeledi
Tafadhali ficha upumbavu wako
 
Mkuu Lizarazu kila ninapofatilia huu uzi najiuliza na mimi niliyepigania ndoa yangu kiasi kile
na ikashindikana unaniitaje
Wanaozungumziwa hapa ni wale waliozaa kabla ya ndoa. Hapa utakuta amezaa na mume wa mtu au amejiachia kwa jamaa ambaye hawajawahi hata kuishi naye na ile ya kukutana leo keshokutwa mechi inapigwa mara mtoto na kila mtu anachukua 50 zake.
Ndivyo nilivyomuelewa Jamaa.
 
Tafadhali ficha upumbavu wako
Kutongozwa kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana. Wanawake wanatongozwa sana haijalishi ni mke wa mtu au siyo mke wa mtu. Ila kasheshe linapokuja, je anachukuliaje mtongozo? Wengine ndiyo mama huruma tena, yeye akitongozwa na jamaa king'ang'anizi likamsumbua hata miezi 6 tayari anaachia mlango wazi. Kiufupi tu. Sisi wanaume ni wadhaifu sana kwa mwanamke kama utajua kucheza na akili yetu vizuri na haitatokea mwanaume yoyote kukusumbua. Kuna wenzako hufikiri kutuomba pesa ndiyo wanatukomoa, ukiomba pesa ndiyo utajikuta unaingia kwa baharia. Wapo mabaharia wakidhamilia kumla mwanamke mgumu yupo radhi akatoe hata mahari na akishatoa anakula mzigo halafu anatoka nduki.
 
Wanaozungumziwa hapa ni wale waliozaa kabla ya ndoa. Hapa utakuta amezaa na mume wa mtu au amejiachia kwa jamaa ambaye hawajawahi hata kuishi naye na ile ya kukutana leo keshokutwa mechi inapigwa mara mtoto na kila mtu anachukua 50 zake.
Ndivyo nilivyomuelewa Jamaa.
Nimekuelewa mkuu
 
IMG_20191013_093224_691.jpeg
 
Mkuu Lizarazu kila ninapofatilia huu uzi najiuliza na mimi niliyepigania ndoa yangu kiasi kile

na ikashindikana unaniitaje
Wanasemaga usingle mother ukija by default yaani kwa kubakwa,kukimbiwa na mume au kuachika kwa sababu zenye misingi. Hata stigmatization yake inakuwa sio kama ya yule aliyeupata usingle mother kwa kuzalishwa na mume wa mtu.

Hakuna namna nyingine ya kukuita zaidi ya single parent/mother. [emoji38][emoji38]
 
Wanaume wengi wanasema eti wameshagundua kuwa wanawake wengi tunaosemaga kwamba tayari tuna wapenzi tunakuwaga waongo na tunaitumiaga hiyo kauli kama kisingizio tu cha kuwakataa wao eti ndiyo maana wanaendelea kututongoza na hawakati tamaa,, which is ridiculous ofcourse..
Na hili lina ukweli kabisa, tabia yenu ya kuplay hard to get nayo imewafanya wanaume wawe ving'ang'anizi kwenye kutongoza. Naamini hata wewe mwenyewe ni mmoja wao au uongo? Wewe hunaga zile za staki nataka?
 
Wanasemaga usingle mother ukija by default yaani kwa kubakwa,kukimbiwa na mume au kuachika kwa sababu zenye misingi. Hata stigmatization yake inakuwa sio kama ya yule aliyeupata usingle mother kwa kuzalishwa na mume wa mtu.

Hakuna namna nyingine ya kukuita zaidi ya single parent/mother. [emoji38][emoji38]

Sawa mkuu. Ila hizo emoji sijui kwanini zinacheka
 
Na hili lina ukweli kabisa, tabia yenu ya kuplay hard to get nayo imewafanya wanaume wawe ving'ang'anizi kwenye kutongoza. Naamini hata wewe mwenyewe ni mmoja wao au uongo? Wewe hunaga zile za staki nataka?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]daah wanaume mna lawama sana tukikubali haraka tunaonekana malaya tukichelewa kukubali au tukikataa kabisa tunaonekana tunaplay hard to get khaa
 
Kutongozwa kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana. Wanawake wanatongozwa sana haijalishi ni mke wa mtu au siyo mke wa mtu. Ila kasheshe linapokuja, je anachukuliaje mtongozo? Wengine ndiyo mama huruma tena, yeye akitongozwa na jamaa king'ang'anizi likamsumbua hata miezi 6 tayari anaachia mlango wazi. Kiufupi tu. Sisi wanaume ni wadhaifu sana kwa mwanamke kama utajua kucheza na akili yetu vizuri na haitatokea mwanaume yoyote kukusumbua. Kuna wenzako hufikiri kutuomba pesa ndiyo wanatukomoa, ukiomba pesa ndiyo utajikuta unaingia kwa baharia. Wapo mabaharia wakidhamilia kumla mwanamke mgumu yupo radhi akatoe hata mahari na akishatoa anakula mzigo halafu anatoka nduki.
Hehe kazi kweli kweli
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]daah wanaume mna lawama sana tukikubali haraka tunaonekana malaya tukichelewa kukubali au tukikataa kabisa tunaonekana tunaplay hard to get khaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila twende mbele turudi nyuma hili suala la kutongoza ni sula mtambuka.

Kila mtu ana namna yake ya kimazingira ambayo anataka liwe.
 
Back
Top Bottom