Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wote ni wewe tu mwenye id kibao. Whom do you think you are fooling, tunza uanamke wako. Simama kwenye nafasi yako otherwise unatoa signals fulani kwa jamii

yaaani niingie na ID nyingine kujibu huu upuuzi wako..mbona unajipa umuhimu ambao huna?.. signal gani na huku wote ni anonymous?? Unajuaje Rebeca kama ni kipanya kina type...?? signal gani unayopata huko?lol
 
Dada zangu nisikilizeni. Swala la kumzalia mwanaume hajakuoa life. Pata mimba toa ibaki siri yako moyoni.Yani ua kizazi chake Mpaka siku atakuoa na kukufanya mke. Hawa wanaume ni wa###nzi sana. Kwanini umzalie mtu atakuacha, kukutukana, utaharibu mwili wako na ku dissapoint wazazi wak na kujipa majukumu ya kulea kitoto cha mtu maisha yako yote.No ndoa no watoto. Piga game tumia usichana wako unavyotaka.
Akitokea wa kufuata huu ushauri wako nae amepotea kama ww
 
yaaani niingie na ID nyingine kujibu huu upuuzi wako..mbona unajipa umuhimu ambao huna?.. signal gani na huku wote ni anonymous?? Unajuaje Rebeca kama ni kipanya kina type...?? signal gani unayopata huko?lol
Chukua ushauri, nawe utapata amani
 
Umerusha mawe gizani na wahusika yamewapata. Naona uzi unakimbia na wahusika wanakuja na hasira. Ila nimekuelewa sana 100%. Kinga ni bora kuliko tiba

eti wahusika wameyapata,hivi mlidhania hii thread itawekwa hapa JF bila response ya wanawake wengine???wote wewe na yeye hamkupata mapenzi ya mama,either alikufa mkiwa wadogo au kila saa alipokua anaku comfort/kukuonyesha affections alikua anapingwa au hata kupigwa na baba yenu kisa anawa 'dekeza'...mmelearn vibayaaaaaaaaa kuwa kwenye Familia kuna Authority na tabala..mama/mwanamke ni of lower status....poleeeeeeeeeeeeni..yaani tutoe mimba sababu tubaki wasichana? hovyoo
 
Ewe mwanamke, nani kakushauri utoe mimba? Hoja hapa acheni kugawa hovyo, subirini ndoa. Kutoa mimba hakukufanyi kuwa bora bali utabaki kuwa kahaba. Muwe na break, msubiri mpaka ndoa.
 
sasa hivi unajifanya unapinga kutoa mimba?..wewe hujitambui..
 
Back
Top Bottom