Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwa kauli hii Joshua alikuwa na moyo mgumu sana. Ningekuwa mm, ningezimia na kufariki muda huo huo. Inaumiza sana.

Singo maza ni mwanamke aliyekosa maadili toka tumboni kwa mamake, ndiyo maana akazaa kabla ya ndoa. Baharia unaanzane kumuoa???
we uko zama zipi kuna kiumbe kilicho kosa maadili toka tumboni? kwanza mi naona bora singo maza kuliko wanaofanya maamuzi magumi ya kuwa mama wa marehemu
 
Kama naweza mlea Mtoto akiwa hana akili na akiwa nayo anaenda pia ni sawa, maana hata mie ningeweza kuwa huyo mtoto!

Humu duniani twaishi mda mfupi Sioni sababu ya kupiganq vita
Basi hujaelewa mada, habari y kumlea akaenda zake na wewe kuwa hivyo ni sawa, bali ukweli ni kuww unalea mtoto wa mwingine. Pamoja na muda mfupi duniani Mungu ameweka misingi yake ifuatwe, haimaanishi tuenende tu kama misukule kisa muda ni mfupi.
 
Kuolewa sio hoja kwani hakuna aliyesema single mother hawaolewi. Hoja ni kuwa wanaume wajue wwnaoa kitu gani, hivyo badili mentallity yako. Kulilia kuwa single mother sio sifa njema, kama ilivyo kumuoa.
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
 
Single mother ukitaka kumfaidi na asikusumbue oa kama mke wa pili au ulishawahi kuoa tena zaid ya mara 2 huyo hatakuletea shida.
Kijana ambaye hujawahi kuoa huyo mtu anatakiwa kuolewa na mtu mwenye ushawishi mkubwa mno au mwenye nguvu mno na umri isiwe chini ya 35 hapo unaweza kuhimili stress za single mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…