ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 246
Ukitaka kuoa single mother hakikisha baba wa mtoto amekufa na kaburi lake umeliona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh swali tata hiliAlikuwa ashasex nae?
we uko zama zipi kuna kiumbe kilicho kosa maadili toka tumboni? kwanza mi naona bora singo maza kuliko wanaofanya maamuzi magumi ya kuwa mama wa marehemuKwa kauli hii Joshua alikuwa na moyo mgumu sana. Ningekuwa mm, ningezimia na kufariki muda huo huo. Inaumiza sana.
Singo maza ni mwanamke aliyekosa maadili toka tumboni kwa mamake, ndiyo maana akazaa kabla ya ndoa. Baharia unaanzane kumuoa???
Na wala hakuwa karudiana na baba mtoto wake
Ni kuwa yule miss alimpata mzungu mwenye kitita zaidi ya Josh
Basi hujaelewa mada, habari y kumlea akaenda zake na wewe kuwa hivyo ni sawa, bali ukweli ni kuww unalea mtoto wa mwingine. Pamoja na muda mfupi duniani Mungu ameweka misingi yake ifuatwe, haimaanishi tuenende tu kama misukule kisa muda ni mfupi.Kama naweza mlea Mtoto akiwa hana akili na akiwa nayo anaenda pia ni sawa, maana hata mie ningeweza kuwa huyo mtoto!
Humu duniani twaishi mda mfupi Sioni sababu ya kupiganq vita
point yake kubwa ametaka watu wajifunze kitu,angewasilisha mwaka jana ungejifunza..na hata sasaiv utakua umejifunza kitu piaSAS mbona unawasilisha wkt huu kwanin cyo mwak jana
Kuolewa sio hoja kwani hakuna aliyesema single mother hawaolewi. Hoja ni kuwa wanaume wajue wwnaoa kitu gani, hivyo badili mentallity yako. Kulilia kuwa single mother sio sifa njema, kama ilivyo kumuoa.Sawa lakini haibadilishi ukweli kwamba Mungu ni wa wote wanaume na wanawake
La sivyo tusingeona single mothers wanaolewa kila iitwapo leo kama ambavyo tunaona single fathers wanaoa kila iitwapo leo ifike mahali tuite chepeo chepeo tu na siyo kijiko kikubwa
Utamwona na Baharia hapo, Baba wa mtoto.Kapicha ka single maza basi!
Hapo mapenzi yalikuwa on fire japo mwanamke alikuwa na mtoto tayariSi umtaje huyo single mama mkuu, mbona mwakasege yeye umemtaja.
Huyu mtoto si wa Joshua, jamaa alimuoa akiwa tayari keshazaa na Mwanaume wake wa zamani.Yule binti mzuri balaa .
Ni watamu kwa mariooKuoa single maza inahitaji moyo wa chuma ila ndiyo hivyo ni watamu balaa.
Mzuri sana Yule mdadaNa wala hakuwa karudiana na baba mtoto wake
Ni kuwa yule miss alimpata mzungu mwenye kitita zaidi ya Josh
In fact ukiona unampenda sana mwanamke, kamwe usimuoeInawezekana bwana mdogo ilikuwa ndio penzi lake la kwanza hivyo moyo wake ulikuwa haujatoboka toboka...
In short katika mapenzi yatupasa kutumia akili na sio moyo, moyo ubakie tu kuwa chemchem ya maji ya uzima...
Kwa wazee ni wachungu sioNi watamu kwa marioo
Mtoto wa mwakasege alikuwa anazini?Si ameandika apo alikuja kumuoa kabisa,sasa ataoaje na asile tunda