Siteteti ujinga ila nilianza ku discipline watoto na ndugu zangu watoto wengine nabaki kuwaombea tu. Wale waliokuwa vinara wa kuwananga watoto wa wenzao wamezalia nyumbani sasa hivi watoto wao wamefuata hayo hayo au wameoa single mother au wamerushiwa wajukuu nyumbani. Huku duniani jua kuna Mungu tu epuka sana kunanga watoto wa watu unless wewe ni mgumbaUsitetee ujinga wako. Kwanini wengine wajitunze nyie ndo mzae. Akizaa ni yeye asipoolewa ni yeye