Siteteti ujinga ila nilianza ku discipline watoto na ndugu zangu watoto wengine nabaki kuwaombea tu. Wale waliokuwa vinara wa kuwananga watoto wa wenzao wamezalia nyumbani sasa hivi watoto wao wamefuata hayo hayo au wameoa single mother au wamerushiwa wajukuu nyumbani. Huku duniani jua kuna Mungu tu epuka sana kunanga watoto wa watu unless wewe ni mgumbaUsitetee ujinga wako. Kwanini wengine wajitunze nyie ndo mzae. Akizaa ni yeye asipoolewa ni yeye
Kwani kanisa ni nini mkuu?Umekurupuka, Mwakasege hana kanisa ni muumini kama waumini wengine.
kanisa ni wewe, yeye, na wengine wote ..sio lile jengo lililorembwaKwani kanisa ni nini mkuu?
Kupenda haupangiwi na mtu bro, hutokea tu ..labda dgo hakuwa na moyo wa kubeba maumivuEtiiiii nini?? Upuuzi mtupu moyo wa mtoto wa kiume anayekufa eti kisa kaachwa na alipuuza wosia wa baba yake
Si umtaje huyo single mama mkuu, mbona mwakasege yeye umemtaja.
Mwanaume ana hela chafu then umwendeshe, mkuu hivyo vitu haviendani, anaeendeshwa ni maskini pekeeWaambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Vizurikanisa ni wewe, yeye, na wengine wote ..sio lile jengo lililorembwa
We mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni ngumu kulea bao la mwenzako... Dahhh
Bi mkubwa upo ?Single mother's anayetaka kuolewa ni kiherehere chake!
Hivyo wewe unaamini kuwa ukishakuwa single mother kuoelwa ni mwiko...?Single mother's anayetaka kuolewa ni kiherehere chake!
Ana matatizo huyu teh😀😀"" leo nimeamua kuwatetea single mothers japo siwakubali kwa asilimia mia""
Nimenukuu kauli yako kama wewe hauwakubali unataka sisi tuwakubali ili iweje
Hahahah..! Ndiyo kufa kizembe hakustahili matanga kabisa kwanza ali madhalilisha baba yake.Kupenda haupangiwi na mtu bro, hutokea tu ..labda dgo hakuwa na moyo wa kubeba maumivu