Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Habari wakuu,

Humu JamiiForums kuna mada nyingi sana zinazowazungumzia Single Mothers kwa mitazamo tofauti tofauti na nyingine ni za muda mrefu sana huku mpya nazo zikiendelea kuja.

Uzi huu utakuwa maalumu kwa mada zote bila kujali upande/mtazamo ambao mwanzisha mada alikukuwa (Hasi au Chanya).

Hii itasaidia pale ambapo mtu atakuwa anataka kujua mitazamo ya wengine kuhusu Single Mothers aweze kupata mada kirahisi.

Nitaweka link hapa za mada na nitakuwa naongeza jinsi siku zinavyoenda na mapendekezo pia yanaruhusiwa.

(1) An Open letter to Single Mothers

(2) Disadvantages of dating single mothers

(3) Hii ndio sababu kwanini ndoa au mahusiano na single mothers huwa hayadumu

(4) Kwa Mliooa single mothers, chukueni hii..

(5) Single mothers wanaharibu ndoa nyingi.

(6) Single mothers mnakwama wapi?

(7) Kabla ya kuwaponda single mothers hebu fanya utafiti usije pishana na wife material bure

(8) Tabia ya kusengenya single mothers ikome...

(9) Kuoa Single Mother ni kama kununua kiwanja chenye mgogoro

(10) Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

(11) Katika maisha yangu I wish nioe mwanamke single mother

(12) Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke 'single mother'

(13) A Special message to single mothers

(14) Hivi karibuni naongeza idadi ya single mothers mtaani

(15) Wanaume tusiwanyanyase kingono wajane na single mothers

(16) Nipo Tayari kuwafariji Single mothers wote Duniani!

(17) Ukweli ni kwamba Single Mothers wengi ni wife material

(18) I pray for single mothers

(19) Nitaoa Single Mother

(20) Nilivyozama kwa Single mother, ambavyo yeyote anaweza zama

(21) Faraja kwa single mothers wote

(22) Heshima kwenu Single mom's hakika mnastahili kupendwa na kuheshimiwa kama wanawake wengine

(23) Nimezama kwa single mother

(24) Kipi bora, single parent bila ndoa au ndoa bila watoto?

(25) Single mothers hata kama mna uwezo wa kulea lakini jilindeni kisheria msije nyang’angywa watoto kijingajinga

(26) Single parenthood. Do not settle for less

(27) Tatizo sio kuoa single mother. Shida ni mzazi mwenzie kupitapita mtaani huku akijimwambafai

(28) Single mothers wa jf ndio viumbe wanaoumizwa zaidi kihisia hapa tz Mungu awape uvumilivu

(29) TAHADHARI. Huyu hapa kiumbe mwenye hasira na gadhabu kuliko viumbe wote

(30) Amelala na mimi anaota ndoto kwa sauti akifanya mapenzi na mzazi mwenzake!

(31) Mungu akinijalia anipatie single mother mmoja safi

(32) Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

(33) Nisahihi kulipa mahari kwa single mother

(34) Natafuta mke ( single mother)

(35) Single Mother bango kubwa



Hizi ni baadhi ya mada hizo, nitaendela kuongeza.

Karibuni
 
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Anapiga magoti baada ya kumtengeneza na ndumba za Bagmoyo sio🤣🤣🤣
 
Shetani alitaka kujiinua kupitia mrembo feki ili aangushe huduma ya Baba.
 
Joshua alikuwa school mate wangu nakumbuka alikuwa anasoma EGM .Jamaa alikua haogop hata maticha na ni mtata alipenda soka na alijitahid kucheza ila alikua Bonge.. R.I.P
 
Kati ya makosa ambayo sitakuja kuyafanya basi ni kuoa single mother, labda nionyeshwe kaburi la mwenye mtoto.
 
Hii thread kwa familia ya mchungaji Mwakasege ni maumivu na zaidi hazina ushahidi wowote na zaidi joshua ni marehemu sasa. Naomba muufunge huu uzi kulinda heshima ya Mchungaji Mwakasege na familia na zaidi kulinda heshima ya marehemu. Moderator
 
Afrika Yote,

wànajijali wao na watoto wao kuliko sisi tuliojitolea kuwasaidia

then wengi wà sio wakweli ni wezi tu

bora ujitoe muhanga kwa mwanafunzi
 
mwanaume rijali kuoa single mama ni umama huo. hilo tayari ni koloni la mwanaume mwenzangu.
NB:wazazi kamwe hawaachani.
 
Kuwa Single Mother kama mnavyojua wadau changamoto huwa hazikosi, pia na faida huwa ni nyingi tu. sasa nawakaribisha wadau mtoe changamoto mnazokumbana nazo kwenye ndoa zenu na masingle mother
Tatizo ni wewe inavyoonekana, kama umemuowa huyo sio Single Mother tena. wewe ndio natakiwa uchukue role ya Father, lakini inavyoonekana inakushinda
 
Ni vizuri tena ni Haki kujua sababu za wao kuwa Single mother kabla ya kuanza kuwalaumu au kujiuliza maswali.

Hivi unajua hata mwanamke aliyefiwa na Mumewe ni Single mother?
Aliyefiwa na mumewe unakuwa na uhakika baba wa mtoto yupo wapi kuliko ambaye baba wa mtoto yupo hai, hawachelewi kupasha kiporo kisha mtoto anawaunganisha
 
Hapo sasa...
 
Ukimkuta hana bikra msamehe muoe, ila ukimkuta kazalishwa na ukamuoa naomba nikutunuku cheo cha "mjinga wewe" labda kama aliemzalisha kafariki lakini kama yupo hai usioe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…