Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

vipi bado unaendelea nae?
 
Ni single mothers tena
 
Urijali hewa.Single mother ni rahisi kuchepuka balaa. Hawajui kusema sitaki. Ukitaka kuona wewe Rijali oa Bibi kizee. Maana haangaiki tena
 

Kwa maana hiyo sina sababu ya kuwa rijali na kuonyesha ukomavu.
 
Aliemzalisha na kumporomosha maziwa kwa nini asimuoe? Single maza ni rahisi kuwapata hawakatai wameshafeli
 
Kipindi unasoma au unatafuta kazi yeye anafanya mapenzi na kula bata akizalishwa na kutelekezwa wewe umfate umfute machozi? Kila mtu abebe mzigo wake
 
Mbona na wewe umeyaleta ya single mother's sasa? Hicho ni kihere here au unajifunza kuanzisha Uzi ?
Wacha kiherehere maana tuna kama miezi zaidi ya mi2 hizo mada hazipo....na aliyekwambia tunajuta ni nani? Kwani tulishakuja humu kuwaomba child support?!/

Acha hizo kijana..
 
[emoji23][emoji23]wanaleta utani kwenye mambo serious
 
Hivi ukiuziwa ng'ombe halafu ukapewa na ndama wake si faida kwako? Single mother ni wanawake tu kama wengine. Faida ni kuwa wameshapevuka kiakili. Hawasumbui issue za kila siku club, iphone 7 sjui takataka gani.

Kama ni mcharuko ni mcharuko tu kama hata watoa mimba walivyo. Angalia mapenzi yake kwako na kama unampenda kisawasawa. Pia kama hana mahusiano au yupo tayari kuachana mazima na mwenza wa awali.

Mbona kuna wanaooa ambao hawajazalishwa halafu wanauza mechi nje balaa? Unaweza kukuta ndani ya ndoa kati ya watoto watatu mmoja tu ndio biological father wa mume.
 
Kwa taarifa yake watu wengine are proud of being sigo maza.....kukaa nawanaume wengine ni nukx %kubwa wanalia kimya kimya kwenye ndoa hawana pakukimbilia eti wanaogopa jamii kuwashangaa kwakushindwa ndoa, wanatamani kua bora masingo maza kuliko kufa kimyakimya bigup singo maza wanao jitambua
 
Nyie pigeni kelele tuu, watukaneni, mkiweza muwanyanyapae ila mjue mnapoteza nguvu na muda kwa kufanya kazi isiyo na malipo; kwanza single mamaz wenyewe hawana habariii na nyie tena kwao ndio amani imetamalaki
Peace of mind is everything
 
Male ndio tatizo kubwa kwenye hili jambo

Na malalamiko haya ni ya wavulana na wajingawajinga

Mwanaume halisi hawezi kulalamikia single mothers sababu ni dada zetu, mama ndugu na jamaa. Watoto ni wetu pia
Ni ngumu sana kuongelea single mamaz bila kuwaongelea hawa wavulana wajingawajinga.

Mwanaume halisi tuu ndio ataelewa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…