Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mamaeee daaah!! Itabid nikupige taf kdg sikukuu hii wewe Na mwanao,ntakucheckWanaume hamna maana nyie [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mamaeee daaah!! Itabid nikupige taf kdg sikukuu hii wewe Na mwanao,ntakucheckWanaume hamna maana nyie [emoji3][emoji3]
Mwingine huyu naee!!!Kwa nini unashangaa kwa huyu Kama kwamba Single mother ni ugonjwa au ulemavu.
Hili ni jibu la swali nilio kuulizaMwingine huyu naee!!!
Duuh aisee kumbe mpo wengi hivii [emoji134]
😂😂😂😂[emoji489][emoji3047]
Throw Back Thursday.
😀😀😀 noted[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mamaeee daaah!! Itabid nikupige taf kdg sikukuu hii wewe Na mwanao,ntakucheck
Tulia bas mama,mbona unakuwa hivyoHili ni jibu la swali nilio kuuliza
Pouwar,utanicheck bas[emoji3][emoji3][emoji3] noted
SawaTulia bas mama,mbona unakuwa hivyo
Sipend nikuudhi ujue
Na wanaongoza kuwa na majina mengi vijiweni. Dah!Kila siku ni sngo mazas jamani hebu tuwape break wasije wakaleft group.
Singo mazas imekuwa nux jf hakika mnajuta dada zangu Mungu awape moyo wa uvumilivu.
Utukomeeee! Shit!
Huu ujinga wa kushindwa kutofautisha maneno LEAVE na LEFT utaishi lini ?Kila siku ni sngo mazas jamani hebu tuwape break wasije wakaleft group.
Singo mazas imekuwa nux jf hakika mnajuta dada zangu Mungu awape moyo wa uvumilivu.
Kuna watu wanafanya kazi ya kanisaNyie pigeni kelele tuu, watukaneni, mkiweza muwanyanyapae ila mjue mnapoteza nguvu na muda kwa kufanya kazi isiyo na malipo; kwanza single mamaz wenyewe hawana habariii na nyie tena kwao ndio amani imetamalaki
Peace of mind is everything
Try me n experience the difference msweetWanaume hamna maana nyie [emoji3][emoji3]