KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha anatamka mwenyewe,wajomba wanatupiga sana siku hizi.
Kwanini atoe mahari nusunusu?? Kwani ye sio mwanamke km wanawake wengine?Maelewano yenu ila inabdi ukawapoze wazazi wake unawapa hata nusu nusu unakausha,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza bora yeye alizaa maana mabinti kigoli wanafanya sana prosija wasionekane wamezaa kumbe wamezaa mara nyingi watoto hawaonekaniTumefikia huko?
Mahali lazima utoe mzee baba, taratibu ni zile zile za sawa na binti kigori.
Kuwa single mother hakujapunguza utu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwanamke ila ndo ivo kashashuka bei,unakuta mtu anamuoa ila bado anakinyongo uakuta anamwambia mtoto ampeleke hata kwa bibi ake,mguu uliovunjika sio sawa na mguu ogKwanini atoe mahari nusunusu?? Kwani ye sio mwanamke km wanawake wengine?
nikupige picha ya buriani mapemaAngalia usije ukabadilika kuwa fursa
hata single mother anaweza akawa ametoa mimba piaKwanza bora yeye alizaa maana mabinti kigoli wanafanya sana prosija wasionekane wamezaa kumbe wamezaa mara nyingi watoto hawaonekani