Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Habari za mchana Great thinkers japo kuna wengine humu ni Zero brain
Kwa kifupi mimi nimetokea kwenye familia ya SINGLE MOTHER kwa mara nyingi huwa naona nyuzi nyingi zikiwaponda single mothers hivyo leo nimeamua kuwatetea single mothers japo siwakubali kwa asilimia mia kutoka na experience niliyo nayo katika anga hizi. Nikisema nina uzoefu na single mother namaanisha kuwa nimezaliwa na single mothers na pia nina ndigu zangu amabo ni single mothers na zaidi ya hapo nimedate single mothers kadhaa; hivyo nawafahamu kwa asilimia kubwa.
Niende moja kwa moja kwenye maada.
Wanaume wengi wanadhani kuo single mothers ni kuwapa favor pale wanapo waoa.
Binafsi naweza kusema kuoa single mother ni kitendawili ambacho jamii has hi ya JF tunahitaji kuelimishwa jinsi ya kukitegua.
Kabla hatujawahukumu SINGLE MOTHERS hebu tujiulize inakuwa kuwa je mpka mtu anakuwa single mother?
Kuna sababu kuu tatu zinazo sababisha hawa dada / wadogo zetu kuwa single mothers.
Wengine wanakuwa single mothers kwa kujitakia (Deliberate) , wengine kwa sababu za majanga na wengine ni kutokana na makosa waliyo yafanya huko nyuma. Kutokana na sababu hizi naomba niwahsauri vijana wenzangu kuwa ikitokea moyo wako umemdondokea single mother basi jaribu kufanya ka utafiti kwanini amekuwa single mother kabla hujachukua maamuzi. Maana unaweza kuchukua maamuzi ya kutokuwa naye kumbe unapishana na WIFE MATERIAL ama ukaamua kumpa moyo wako kumbe unajibebea majanga
Ukitokea ukagundua kuwa Single mother amejitakia mwenyewe kuwa single mother nakushauri kula papuchi usepe. Ila kama ni kwa sababu ya majanga ama makosa trust me anaweza kuwa wife material ambae hujawai ona.
Sifa moja kubwa ya wanawake ambao wamekuwa single mothers kutokana na majanga au makosa waliyofanya ni hii hapa.- wanakuwa wavumilivu sana kwenye ndoa kwani huitumia kama darsa kusahihisha makosa waliyo yafanya.
Najua sio wote wanaochukia single mother kuna wale tunawapenda lakini tumishindwa kuwapata. Kama uko kwenye kundi hili pasi uli kuwa wini hawa watu lazima kwanza umpende motto wake and she will love you with her last breath and blood.
Mimi sio mwandishi mzuri na pia ni mvivu sana wa kuandika naomba niishie hapa kwa leo japo nina mengi ya kusema juu ya Single Mothersi.