Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mods futeni huu Uzi unaiumiza Sana familia nimeongea na mch mwakasege mwenyewe amenithibitishia kuumizwa Sana huu Uzi naomba mods muwasiliane na mch mwakasege muone msimamo wake mthibitishe otherwise ufuteni plz mods tujali hisia za familia kwa mpendwa wao.
Kwahiyo umempigia Mwl Mwakasege kumuambia kuna uzi umeandikwa humu au... Kweli we kilaza sana
 
Watoto wa majengo hawaoleki ni vicheche hatari,istoshe familia yao mama ndio mwenye pesa
Kweli Mkuu hawa mabinti ni shida, ukimkuta anadanga huko burka mpaka majengo juu daah, kwenda Dsm ndio kabisaa.
 
Hapo kwenye “USHAURI” sidhani kama kunahitaji kupepesa macho,edit pale juu andika "HAKIKISHA KWANZA KWAMBA MZAZI MWENZAKE KAMA AMESHAKUFA NA ISIWE KWA MANENO TU HATA CHETI CHA KIFO DAI UONYESHWE ILI UTHIBITISHE".

Singo mama ni makombo ambayo hayafai hata kuangalia naandika haya atakaechukia na achukie ila ndiyo ukweli wenyewe.
vipi yamewahi kukukuta?
 
Kwenye semina ya Ndoa Mwakasege na Mke wake waliongea kimafumbo kuhusu kijana wao

Yule mama alipoanza kuongea aisee Wanawake waliokuwa kwenye semina walilia sana.

Joshua alikuwa anaogopa kusema yanayomkabili kwasababu alishavulia maji nguo.
link unayo??
 
Kwa kauli hii Joshua alikuwa na moyo mgumu sana. Ningekuwa mm, ningezimia na kufariki muda huo huo. Inaumiza sana.

Singo maza ni mwanamke aliyekosa maadili toka tumboni kwa mamake, ndiyo maana akazaa kabla ya ndoa. Baharia unaanzaje kumuoa???
Serious? Are you serious?

Vv
 
Etii ooh usimchunguze mwanamke ndo mnaishia kufa na stress we chunguza tu haeleweki piga chini mtumishi anaowa vipi single maza asee wakati kanisani kwa baba yake kondoo kibao wazuri.
 
Etii ooh usimchunguze mwanamke ndo mnaishia kufa na stress we chunguza tu haeleweki piga chini mtumishi anaowa vipi single maza asee wakati kanisani kwa baba yake kondoo kibao wazuri.
Umekurupuka, Mwakasege hana kanisa ni muumini kama waumini wengine.
 
Jamani,jamani,jamani yaani huyu kenge ndio mnamwita MZURI? wengine wamesema kabisa MZURI SANA?. Basi mimi nitakuwa siwajui mademu wakali. Kweli huyu ana sura pana ka ungo huyu ndio mkali?
Nilikuwa najiuliza swali kama lako aisee
 
Narudia kusema Mungu ni mwema siku zote.

Wanawake wa kileo sio watu wa kuwaamini kwa 100% inabidi uwe makini sana.

Samahani kama nitakuwa nimewaudhi dada zangu lkn huo ndio ukweli.
Na hii ni kwasababu hata wanaume wa kileo wengi hatueleweki, wewe usimpomuamini mwenza wako unategemea yeye akuamini? Kwa staili gani? Mkuu upo na mpenzi na hujiamini wewe kama wewe matokeo yake hutomuamini na yeye kwa matendo yako ya kutokumuamini atatafuta njia mbadala mapema kwamba lolote likitokea awe ana backup hivi ndivyo wengi huishi.

Utasikia mwanamke anasema ana wapenzi zaid ya mmoja ukimuuliza sababu anakuambia naangalia bado wapi patamfaa.

Principle yangu huwa ni moja mkuu, mwanamke mpende kama wako ila ishi naye kwa kumuheshimu na muheshimiane lakini lazima wewe mwanaume unapofanya hayo usiwe kauzu kwamba upendo wako uwe zaidi, yaani unajiwekea imani kubwa kupita maelezo, hapo hata ukikutana na meseji ya mchepuko gunia la mkaa lazima lihusike, ishi na mwanamke kwa kumtengenezea mazingira fulani ya kuwa na hofu ya kukuacha (wanaume watanielewa, wavulana sorry kidogo),
hivi viumbe havijui exactly wanachokitaka.

Una wasiwasi naye, jua na yeye atakuwa na wasiwasi na wewe, kwasababu
To every action, there is an equal and opposite reaction.
 
Back
Top Bottom