Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is unfounded generalisation! Sample ya mtu mmoja unatoa conclusion nzito namna hii!!single mothers ni disaster! I tried one and I failed!
ukimaanisha bora mama wa marehemu [emoji849]Bora huyu aliyekwepa aibu ya kulea na kuishi na zao la dhambi. Ametoa na kutubu na amesamehewa.
Ndiyo!ukimaanisha bora mama wa marehemu [emoji849]
duuuh aisee nahisi mi niko kizamani sanaNdiyo!
Wanaume tumeumbwa matesoooo!! Matesoooo!!! Mahangaikooo!!Ni kweli kabisa, wanaume kuna mambo ambayo huwa hawawezi kuzungumza kama kuchapiwa, kitu ambacho kinawauwa ndani lwa ndani
Wanahitaji maombi sana
HaahahahahaChangamoto kubwa ni kuwa umeoa 'nke ya ntu'
Hahaahahahahahahahaha umetisha mkuuSema hawa ving'ang'anizi sana
nakubaliana na wewe.....wakiwa wamekufa kuna ahueni kdg.....Shida yao ni uwepo wa single fathers wao! Wakiwa wamekufa then ni wa kuoa haraka!
Ahahahahahahahahahahahahahaahhahahahaahahaha fala thanaMbona inajulikana wazi SINGLE MOTHERS NI WALE WALIOPATA MIMBA KWA UZEMBE...alafu wakaachana...
NAO NI WANAWAKE KAMA WANAWAKE WENGINE NA WANASTAHILI UPENDO PIA.
mkuu, unachobishi ni kitu gani? acha kuita wanaume kuwa wana ukosefu wa akili. tumia lugha ya staha.Umefanya utafiti wapi?? Ukaona majority kuwa Wana shida??
Ni ukosefu wa akili tu.
Na hao wasio na watoto hawacheat na ex zao?
Nini kina wafanya waliowazalisha wapashe viporo?