Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Habari za mchana Great thinkers japo kuna wengine humu ni Zero brain

Kwa kifupi mimi nimetokea kwenye familia ya SINGLE MOTHER kwa mara nyingi huwa naona nyuzi nyingi zikiwaponda single mothers hivyo leo nimeamua kuwatetea single mothers japo siwakubali kwa asilimia mia kutoka na experience niliyo nayo katika anga hizi. Nikisema nina uzoefu na single mother namaanisha kuwa nimezaliwa na single mothers na pia nina ndigu zangu amabo ni single mothers na zaidi ya hapo nimedate single mothers kadhaa; hivyo nawafahamu kwa asilimia kubwa.

Niende moja kwa moja kwenye maada.

Wanaume wengi wanadhani kuo single mothers ni kuwapa favor pale wanapo waoa.
Binafsi naweza kusema kuoa single mother ni kitendawili ambacho jamii has hi ya JF tunahitaji kuelimishwa jinsi ya kukitegua.

Kabla hatujawahukumu SINGLE MOTHERS hebu tujiulize inakuwa kuwa je mpka mtu anakuwa single mother?
Kuna sababu kuu tatu zinazo sababisha hawa dada / wadogo zetu kuwa single mothers.

Wengine wanakuwa single mothers kwa kujitakia (Deliberate) , wengine kwa sababu za majanga na wengine ni kutokana na makosa waliyo yafanya huko nyuma. Kutokana na sababu hizi naomba niwahsauri vijana wenzangu kuwa ikitokea moyo wako umemdondokea single mother basi jaribu kufanya ka utafiti kwanini amekuwa single mother kabla hujachukua maamuzi. Maana unaweza kuchukua maamuzi ya kutokuwa naye kumbe unapishana na WIFE MATERIAL ama ukaamua kumpa moyo wako kumbe unajibebea majanga

Ukitokea ukagundua kuwa Single mother amejitakia mwenyewe kuwa single mother nakushauri kula papuchi usepe. Ila kama ni kwa sababu ya majanga ama makosa trust me anaweza kuwa wife material ambae hujawai ona.

Sifa moja kubwa ya wanawake ambao wamekuwa single mothers kutokana na majanga au makosa waliyofanya ni hii hapa.- wanakuwa wavumilivu sana kwenye ndoa kwani huitumia kama darsa kusahihisha makosa waliyo yafanya.

Najua sio wote wanaochukia single mother kuna wale tunawapenda lakini tumishindwa kuwapata. Kama uko kwenye kundi hili pasi uli kuwa wini hawa watu lazima kwanza umpende motto wake and she will love you with her last breath and blood.

Mimi sio mwandishi mzuri na pia ni mvivu sana wa kuandika naomba niishie hapa kwa leo japo nina mengi ya kusema juu ya Single Mothersi.
 
Kweli Mkuu hawa mabinti ni shida, ukimkuta anadanga huko burka mpaka majengo juu daah, kwenda Dsm ndio kabisaa.
Halafu mkuu naomba kujuzwa kitu, hivi ni wanawake wetu wa Dar tu ndo mambo haya wanayo sana kwasababu ya uswahili mwingi? Au wote ni walewale? Kwasababu unajua mkuu binafsi kipindi nipo nyumbani kabla ya kuja huku naona mabinti wa kule mikoani wana uoga fulani hivi wa kinidhamu ili hawa wa Dar naona uswahili mwingi na kwa bahati mbaya kinachowaumiza ni maisha ya kuiga.
 
Mtu kazalishwa huko kutokana na kimbele mbele chake afu eti uwaonee huruma huwaoa. Kwani wanawake wameisha? Wanawake wenyewe ni wengi kwa zaidi ya milioni 1 kwanini uhangaike na mtu aliyezalishwa tayari?
Muda wowote anaanza kukulinganisha na aliyepita....
Hata kama aliyemzalisha kafa muache abaki hivohivo maana atakulinganisha na marehemu
 
Root,
Eti atakulinganisha na nani? umenichekesha sana hapa.\ sidhani kama hicho kitu kitatokea.
kwa wale walio zalishwa kwa kihelehele hao wako kwenye kundi la kwanza nililolosema ambalo ukigundua hivyo we piga papuchi alafu sepa.
 
Hata wale wanaokubali deliberately kuwa single mother pia ni wife material.

Wengi wao huwa wanaamua kuzaa deliberately kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa umri kusonga sana huku wakiwa hawaoni dalili za kuolewa anytime soon.

Single mothers hatari kwa afya zetu mabaharia ni wale walioachika kwenye ndoa kwa kupeana talaka ama kutengana. Hao ndio snake venom wenyewe sasa.

Lakini hawa wanaozalishwa kabla ya ndoa wala hawana tatizo, cha msingi mfanyie thorough analysis kabla hujaamua kumuweka ndani.

Cc Unforgetable
 
@"Kingsmann,

Hawa sasa ndio nilikuwa nimewalenga kama kwa kiasi kikubwa mpaka kuwaweka kwenye kundi la Deliberate
 
Singo maza wanaboa sana wanajidai mapenzi yote kwa mtoto af ukichukua time anaanza kulia lia kama anampenda mwanae ampe **** sasa wanaboa sana
Habari za mchana Great thinkers japo kuna wengine humu ni Zero brain

Kwa kifupi mimi nimetokea kwenye familia ya SINGLE MOTHER kwa mara nyingi huwa naona nyuzi nyingi zikiwaponda single mothers hivyo leo nimeamua kuwatetea single mothers japo siwakubali kwa asilimia mia kutoka na experience niliyo nayo katika anga hizi. Nikisema nina uzoefu na single mother namaanisha kuwa nimezaliwa na single mothers na pia nina ndigu zangu amabo ni single mothers na zaidi ya hapo nimedate single mothers kadhaa; hivyo nawafahamu kwa asilimia kubwa.

Niende moja kwa moja kwenye maada.

Wanaume wengi wanadhani kuo single mothers ni kuwapa favor pale wanapo waoa.
Binafsi naweza kusema kuoa single mother ni kitendawili ambacho jamii has hi ya JF tunahitaji kuelimishwa jinsi ya kukitegua.

Kabla hatujawahukumu SINGLE MOTHERS hebu tujiulize inakuwa kuwa je mpka mtu anakuwa single mother?
Kuna sababu kuu tatu zinazo sababisha hawa dada / wadogo zetu kuwa single mothers.

Wengine wanakuwa single mothers kwa kujitakia (Deliberate) , wengine kwa sababu za majanga na wengine ni kutokana na makosa waliyo yafanya huko nyuma. Kutokana na sababu hizi naomba niwahsauri vijana wenzangu kuwa ikitokea moyo wako umemdondokea single mother basi jaribu kufanya ka utafiti kwanini amekuwa single mother kabla hujachukua maamuzi. Maana unaweza kuchukua maamuzi ya kutokuwa naye kumbe unapishana na WIFE MATERIAL ama ukaamua kumpa moyo wako kumbe unajibebea majanga

Ukitokea ukagundua kuwa Single mother amejitakia mwenyewe kuwa single mother nakushauri kula papuchi usepe. Ila kama ni kwa sababu ya majanga ama makosa trust me anaweza kuwa wife material ambae hujawai ona.

Sifa moja kubwa ya wanawake ambao wamekuwa single mothers kutokana na majanga au makosa waliyofanya ni hii hapa.- wanakuwa wavumilivu sana kwenye ndoa kwani huitumia kama darsa kusahihisha makosa waliyo yafanya.

Najua sio wote wanaochukia single mother kuna wale tunawapenda lakini tumishindwa kuwapata. Kama uko kwenye kundi hili pasi uli kuwa wini hawa watu lazima kwanza umpende motto wake and she will love you with her last breath and blood.

Mimi sio mwandishi mzuri na pia ni mvivu sana wa kuandika naomba niishie hapa kwa leo japo nina mengi ya kusema juu ya Single Mothersi.
 
Tatizo sisi wanadamu tunaangalia vitu vinavyooneka na kutoa maamuzi Mimi binafsi nawapenda sana single mother maana hawakuta kuonesha unafiki wao na ni waeelewa. Kwa sababu Kuna single mother wengi sana hasa hawa wasomi maana kama mtu kafanya abortion huyo tayari ni single mother. Tafakari halufa toa jiulize
 
Back
Top Bottom