Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

hivi maana ya single mother ni nini hasa??? anyway mahari ni lazima...haina mjadala.
 
Habari wana jamvi wa JF,

Twende moja kwa moja kwenye mada, miaka miwili nilikua mkoa X ambapo katika ujana nikapata mtoto wa kiume nilivyohama mkoa X na kuja mkoa Y, nikabaki kulea mtoto wangu aliyeko mkoa X.

Hilo sio tatizo wala sio lengo la uzi huu, miezi mitatu imepita nimeangukia kwa single mother katika mkoa Y na nashindwa kujichomoa kabisaaa na kila nikisoma thread za single mothers humu jamvini naishiwa nguvu ila huyu single mother yupo poa na inaonekana alipata pregnant kwa bahati mbaya...na ananipenda snaaa...

Ushauri, nimchukue single mother wa mkoa Y au ni bora nikomae na mwenzangu wa mkoa X japo kuna vitu anamiss kwa matumizi ya mke.

Ukiona niwamwage wote njoo PM..kwa KE only.


Karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana endelea kukolea siku baba mwenye mtoto akimuita usije lalamika kwanini uishi na mtu kwa mashaka ya kurudiana na x wake kwamba alipata mimba kwa bahata mbaya hahhahahaa nicheke mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom