Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,490
- 1,881
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na dudu ukahitaji kumpa kama kawa.Kuwa single mother hakumuondolei hadhi kama mke mtarajiwa. Ndio maana ukampenda na ukaridhika awe mchumba wako na hatimaye mkeo baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja chenye mgogoro[emoji3][emoji3].
Jenga tu mkuu,
Sasa hivi hajaolewa baba wa mtoto katulia, akisikia tu kaolewa anaanza.
Haaa haaa kiwanja chenye mgogoroKiwanja chenye mgogoro[emoji3][emoji3].
Jenga tu mkuu,
Sasa hivi hajaolewa baba wa mtoto katulia, akisikia tu kaolewa anaanza.
Kijana endelea kukolea siku baba mwenye mtoto akimuita usije lalamika kwanini uishi na mtu kwa mashaka ya kurudiana na x wake kwamba alipata mimba kwa bahata mbaya hahhahahaa nicheke mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mwanaume unaweza kushindwa kutolea maamuzi masuala madogo madogo kama haya, ni udhalilishaji mkubwa sana kwa wanaume wenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Navp kwaupande wapili mwanaume alikuwa na mtt nje akaja akaoa nacho hiko kiwanja kina mgogoro?Kiwanja chenye mgogoro😀😀.
Jenga tu mkuu,
Sasa hivi hajaolewa baba wa mtoto katulia, akisikia tu kaolewa anaanza.
Jamaa mwenye mtoto atakapotokea ye mwenyewe atashangaa.