mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Single mother kuwa dhaifu kwa mzazi mwenzie ni kitu ambacho unakijua na unaweza kudeal nacho kwa kwa wewe kusimama kwenye nafasi yako huo udhaifu usiwepo.Shida ya single mothers wengi wanakua wadhaifu kwa wazazi wenzao ila ushauri wako ni mzuri sanA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wale wale wasio single mother ambao baadhi wana udhaifu kwa kila mwanaume inakuaje!? Wanaume msituache tujiongoze wenyewe akili zetu hata Mungu alizijua ndio maana aliniambia tuwe wasaidizi na sio vichwa hahaha