Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hichi ndicho kinachowapa kiburi wanawake. Wanawake wengi wanauliwa kwasababu ya midomo michafu mfano yule jamaa aliyempiga risasi mkewe, aliyemuua mhadhiri wa chuo kikuu na jamaa aliyemchoma mkewe gunia mbili za mkaa. Mwanamke anadharau na kiburi na hayupo kiumbe chochote kinachomfikia mwanamke kwa dharau na kiburi. Upo naye ndani anakutukana + kukuchamba + anakuonesha dharau na kiburi na ukimwambia acha anakuambia utanifanya nini wewe mwanaume suruali? Sasa hapo awe ana kazi yake inayomuingizia pesa na awe na mchepuko nje. Aise kama una roho nyepesi lazima uue mtu na yote anayofanya kwasababu kuna kuna sheria inamlinda na akienda kukushitaki tu wewe unawekwa selo bila hata kujitetea. Kwanini tuhangaike na hayo yote "Lazima tuchague wanawake waelewa". Ukimuona haeleweki unapiga chini sababu NDOA NI YA MWANAUME
tukiwaambia msioe hamtaki kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heti alipata pregnant kwa bahati mbaya hahahaaa

Kwani alijikwaa akadomdokea mb** ?

Broh hata nikikueleza sasa hutonielewa ila wewe endelea nae ila.. ila.... muda utanena na hapo ndio utafunguka kiakili.....
 
Mkuu endelea tu, Kila mtu ana kiwango na uwezo wake wa kupambana na Changamoto aina fulani. Labda wewe utatoboa katika hiyo inayokuja sababu Ni Lazima itafika wakati na saa....
ile connection ya Mama, baba na mtoto si rahisi kuivunja labda Mmoja wao awe Kaburini.
 
Nawashanga waislam wale wanajifanya kindakindaki alafu wanawaponda singo mother, wakati mtume wao mohamed alioa singo mother tena huyo singo maza ndiye aliyempa na huo utume.
 
Back
Top Bottom