Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwani single mother siyo mtu, wewe oa tena na harusi juu ya kufa mtu
 
Nianze tu kwa kusema mwanaume kamili na una akili zako timamu unawezaje kuingia katika mahusiano na mwanamke alie achika na mumewe na ukamuoa ukiwa na Imani kuwa mtadumu nae milele?? Unawezajeeee???

Kwa kuwa wengi husema MAPENZI NI UPOFU labdaaa ndio maana huwezi kuona madhara ya kuoa single mother hapo mbeleni,

Jiulize tu katika uhalisia

[emoji117]MFUPA ULIOMSHINDA FISI MBWA ATAUWEZA WAPI???

[emoji117]UNAWEZA KUWEKA PESA KATIKA AKAUNTI YA MTU NA HUJUI NYWILA NA UKAWA NA AMANI PESA ZAKO ZIPO SALAMAA???

BROTHER acha ujinga siku mwenye akaunti akibadili password jua huna chako tenaaaaa

MASINGLE MAMA POVU RUKSAAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo kuyaongelea ni kama kuanzisha mada ya ushoga kwenye kikao cha familia.

Sisi wakristu tunaambiwa usihukumu usije ukahukumiwa na ile Golden Rule inasema Usimfanyie mtu kitu usichotaka ufanyiwe wewe.

Sasa imagine wewe mwanaume unayesema haya ( nashauri ukae kimya maana hujui kesho yako) unabarikiwa watoto 4 wakike woote.

Alafu kila mmoja anazalia nyumbani kwako, na uliwahi kusema anayeoa single mama ni mjinga!

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Mkuu mbona povu sanaa funguka Kama jiwe limekupata [emoji3][emoji3][emoji3]

Back
Top Bottom