Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kila siku ni sngo mazas jamani hebu tuwape break wasije wakaleft group.

Singo mazas imekuwa nux jf hakika mnajuta dada zangu Mungu awape moyo wa uvumilivu.
Na wanaongoza kuwa na majina mengi vijiweni. Dah!
Lakini ukija kuangalia asilimia kubwa ya wanaume matulizo ya mioyo yetu ni hawa hawa tunaowatolea majina mabaya!

Mungu atusaidie sana jamii zetu.
 
Wanaoitwa wavulana na single mother wa Jf ndo chanzo cha usingle mother.
Nyie wavulana mnaowakula dada zetu na kuwatelekeza na kusababisha waitwe majina ya hovyo katika jamii mlaaniwe popote mlipo.
 
Nyie pigeni kelele tuu, watukaneni, mkiweza muwanyanyapae ila mjue mnapoteza nguvu na muda kwa kufanya kazi isiyo na malipo; kwanza single mamaz wenyewe hawana habariii na nyie tena kwao ndio amani imetamalaki
Peace of mind is everything
Kuna watu wanafanya kazi ya kanisa
 
Hivi single mothers kwani wao hawavuti pumzi km wengine?? Ujinga wa wachache singo maza kuwapotezea muda kuwaza na akati wengine mama zenu masingo na watoto 7 kila mmoja baba ake waiiii msituchoshe
 
Back
Top Bottom