Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wasamehe bure, walikuwa kwenye ndoa wanajua changamoto walizo kutana nazo,
Siamini kuna mwanaume aliye kwenye ndoa au ameshaachana na mke wake akawakebehi single mother,
Kwa maana kwa sasa ndoa nyingi wanandoa hawana kuvumiliana si mwanaume wala mwanamke!
 
Wapendwa wazazi wa kike ambao kwa bahati mbaya ulizaa na mtu akakukimbia, jaribu kuepuka mambo haya yafuatayo unapopata mchumba mpya:

1. Kulazimisha mpenzi mpya atoe huduma kwa mtoto ambaye hakumzaa yeye wakati unajua baba wa huyo mtoto yupo hai anaponda raha mitaani mnakosea sana unaomba ada ya mtoto kwa mpenzi wako ukijua huyo mtoto ana babake.

2. Kuficha kuwa una mtoto, unapoanza mahusiano mapya usifiche kuwa una mtoto.

3. Kutajataja matatizo ya mume aliekukimbia kila unapokutana na mchumba wako.

4. Kulazimisha kutambulishana kwa wazazi bila kumpa muda mchumba mpya kusoma mazingira.

5. Usilazimishe kumzalia mtoto huyu mchumba mpya ukidhani ni njia ya kumfanya muwe pamoja. Unaweza ukajikuta una watoto waili (2) na baba wamekimbia.

Ni hayo tu, ukiwa na swali uliza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kila single mother ni aliachika jaman kuna wengine walifiwa na waume zao kwahiyo hawafai kuanzisha tena ktik matumizi ya ndoa? wapumzisheni basi hawa wamama na siku moja moja muwe mnawasifia pia sidhan km hawana mazuri pia
Single mothers kwa upande mwingine wako poa sana, kuna single mother hapa najilia mizigo faida zake ni kama ifuatavyo:
1. Hanipigi mizinga yoyote labda niamue
mimi kumtoa.
2. Hana kiburi wala jeuri
3. Anapalilia mapenzi kwa namna yoyote ikiwa ni pamoja na kutoa vijizawadi.
4. Nifaraja kubwa sana kwangu hasa nikikasirishwa na mpenzi wangu nikimwita yeye na relax.
5. Anajua kama yeye ni mchepuko lakini anachukulia poa tuu!!
6. Aliachana na mpenzi wake na kuzalishwa tuu, and mpenz wke alikua katili balaa xo ananiona mimi kama tulizo la stress zake so ananipa thamani kubwa xn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kila single mother ni aliachika jaman kuna wengine walifiwa na waume zao kwahiyo hawafai kuanzisha tena ktik matumizi ya ndoa? wapumzisheni basi hawa wamama na siku moja moja muwe mnawasifia pia sidhan km hawana mazuri pia
Kuna single mothers wao ndo wameacha baada ya kuona baba ni sifuri na wanajielewa na kuendelea kufatwa fatwa na wanaume daily wakiombwa mahusiano serious.

Ukiwa single mother hakikisha unajua kutengeneza pesa, endesha gari, vaa vizuri, jenga. Usisubir mwanaume ndo akufanyie.

Successfull single mothers wana maisha ya raha sana na wengi huwa wanaolewa na successful men. Shida ni hawa single mama's anayetafuta mume wa kumuhudumia yeye na mtoto ndo hawa wanasemwa semwa.
 
apo nmekuelewa mkuu kwa hiyo single mother silaha yako kuu ni kupambana tu..safi sana
 
apo nmekuelewa mkuu kwa hiyo single mother silaha yako kuu ni kupambana tu..safi sana
Kabisa, wapo single mothers ambao hata hawa insperational speakers wanaoinspire watu wasioe single mothers wakipata bahati hata ya kukaa nao tu wakazungumza biashara au mambo ya kawaida kwao ni credit. Achilia mbali kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…