monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi single mothers tulipumzika naona mada zimeanza kucharuka tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote nayaelewa mkui..hii ilikuwa ni clap back yangu kwa mtoa madaHakuna mwanamke au mwanaume anayetaka kuwa single parent. Ndiyo! Kuna mazingira yanakulazimisha uwe single parent 100% na hauna option ya kuubadili ukweli. Kingine usifuate kile mtu anasema. Jaribu kushughulisha akili yako vizuri utapata jibu lenye uhakika. Umefikisha miaka 30 na haujapata mwanaume wa kukuoa kwahiyo ukae bila mtoto kisa kuna binadamu kasema kuwa kuoa single mother ni ujinga.
PoleniKuna kipindi single mothers tulipumzika naona mada zimeanza kucharuka tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashwa kukutukana ile mbaya wewe 😊Nyoko shenzi pumbavu mjinga shetani mkubwa.
Olenoko
Mtoto akipata akili ya utambuzi tu, baba yake atarudi kujitambulisha upya kwake. Ni hapo ndipo ndoa yako itakapo anza kupata MISUKOSUKO Mkuu.Haudumii jamaa alikataa mimba,mwanamke alivyojifungua jamaa akajileta mwanamke akamwambia buna mtoto apa