Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Khaaaa!!! Na wewe single mama?TobaaaaaKuna kipindi single mothers tulipumzika naona mada zimeanza kucharuka tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaa!!! Na wewe single mama?TobaaaaaKuna kipindi single mothers tulipumzika naona mada zimeanza kucharuka tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila la kuendelea kupigwa na baba wa mtoto kwa hilo hawajielewiIla kitu nilichogundua, ku date na singo maza ni raha sana. Kwanza, hua hawana shobo na maringo ya kitoto toto na kujisikia kama vidada vya chuo au vibinti vya geti. Yeye akishakuelewa ni basi we ukitaka mzigo anytime hawana longolongo. Pia wengi hua hawana mizinga ya ovyo ovyo na ikitokea anakupiga mzinga basi ujue ana ishu ya maana na sio eti ameona jinzi au pochi mpya anataka akanunue. Wengi pia hawapendi starehe au kunywa sana pombe, klabu nk maana mawazo yao hua kwa mtoto. Kiufupi wengi wanajielewa
Yaani hata mimi kuolewa na single dad naona ni ujinga...yaani kama yule dada mzuri alimzalia mpaka na mtoto na bado alimshindwa mi ntamuwezea wapi sasa...#SayNoToSingleDadies#